shoka

Shōka (正嘉) was a Japanese era name (年号,, nengō,, lit. "year name") after Kōgen and before Shōgen. This period spanned the years from March 1257 to March 1259. The reigning emperor was Go-Fukakusa-tennō (後深草天皇).

View More On Wikipedia.org
  1. Huyu jamaa anaitwa Kuringe kaingia mjini

    Kuna jamaa anaitwa Kuringe, kaingia mjini Dar es Salaam na shoka. Na ana kata kulia na kushoto akiwanunua watu na viwanja vyao kama hana akili nzuri. Ukienda wilaya ya Kinondon i utamkuta yupo tele kila mahali. Mitaa ya Goig Mbezi Beach kanunua mtaa mzima. Kama utafika Mbezi NSSF road ile...
  2. Wanaume wa shoka hawawezi kufanya jambo hili.

    Na Fred Putin. Jambo moja ambalo mwanamume anayejiamini hawezi kamwe kufanya hadi kifo kitakapomchukua : "KUFANYA PUSSY KUWA BWANA NA MWOKOZI WAKE BINAFSI. " Wanaume wanaojiamini hawaabudu nyash, hawaabudu matiti. Wanachoabudu ni kusudi, malengo, furaha, amani, mafanikio na Mungu wao...
  3. DAR: Wakamatwa baada ya kukutwa na Pistol toy (7), AK47 toy (2), Jambia toy (2), Shoka toy (2) walizotaka kutumia katika uhalifu

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linaendelea kusimamia mkakati wake maalum wa kuzuia vitendo vyote vya kihalifu katika Jiji la Dar es Salaam. Kazi hii maalum ya kuzuia vitendo vya kihalifu ni muendelezo wa kazi hiyo iliyoanza mwezi Aprili 2024 na inayoedelea kulenga, kufuatilia...
  4. Salma Kikwete ni Mwanamke wa Shoka, Mke, Mama, na Kiongozi. Ashusha hoja 10 za nguvu, aanza na Samia na kumaliza na Samia!

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na makala hizi, "Kwa Maslahi ya Taifa" kuzungumzia jambo lolote lenye maslahi kwa taifa letu liwe ni jambo la kisiasa, kiuchumi au kijamii. Kwa vile mimi ni mtu wa mastori stori yaani story teller, naomba nianze kwa mastory ya ilikuwaje...
  5. Mbeya: Amuua mwanafunzi mwenzie kwa shoka baada ya kushindwa kumbaka

    Mwanafunzi wa kidato cha nne katika shule ya sekondari Sinde jijini Mbeya, Faraja Kasole (16), ameuawa kwa kukatwa na shoka shingoni na mwanafunzi mwenzie aitwaye Humphrey Ngogo (17) mwanafunzi wa kidato cha tano shule ya sekondari Iduda, baada ya kushindwa kumbaka. Chanzo cha mauaji hayo...
  6. Hawa ndio wanaume wa shoka

    Wale wa wydad na Raja Casablanca tukutane hapa....tunauwa mtu...... Karibuni sana makamanda wangu Al ahly and Raja Casablanca saa 5:00 usiku Belouizdad and Wydad Casablanca saa 00:00 Kila la heri Wydad and Raja Casablanca
  7. Tabora: Maiko Jacobo amuua baba yake kwa shoka kisa imani za kishirikina

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora linamshikilia Maiko Jacobo mwenye umri wa miaka 25 mkazi wa Kijiji cha Upungu, Wilaya ya Nzega mkoani hapo kwa tuhuma ya kutenda kosa la kumuua baba yake mzazi mzee Jacobo Lubela mwenye umri wa miaka 88 baada ya kumvizia majira ya jioni akiwa nje ya nyumba yake na...
  8. F

    Kiingilio cha Gezaulole kilivyobadilika kutoka Jembe / Panga na kuwa PESA.

    Wakuu, Jana nilipata fursa kuitumia siku ya kumbukizi ya maisha ya Mwalimu kuzunguka zunguka vitongoji vya hapa Dar na mimi, nikapita mitaa ya Gezaulole - kigamboni aisee ni balaa - Mji umejengeka swafi, majumba makali makali nikawaza sana moyoni mwangu kwamba huku si ndiko watu walikuwa...
  9. Unamtwangaje mumeo shoka la kichwa kisa amekusaliti?

    Wanawake mbona mmekosa huruma namna hii? Yaani kabisa unaenda kununua shoka kisha unainoa vizuri kabisa kwa lengo la kumtwanganalo mumeo? Tukio hili la manyara limenisikitisha sana. Imefikia hatua wanaume tumegeuzwa kuni kweli! Ungana na Mimi kupinga vitendo vya kinyama tunavyofanyiwa na...
  10. #COVID19 Waziri Gwajima Kiboko! Ni Mwanamke wa Shoka… Amuita mtu ‘Kibwetere’. Unamjua huyo Kibwetere ni nani na Wakoje naye?

    Wanabodi, Huyu Waziri wa Afya, Gwajima Kiboko!, Ni Mwanamke wa Shoka kweli kweli!, leo kuna mtu amemuita Kibwetere!. Msikilize Waziri Gwajima Jee unamjua huyo aliyemuita Kibwetere ni nani?, na ni nani wake au wakoje nae?. Ukiishamjua Kibwetere ni nani, utakubaliana na mimi, huyu Waziri...
  11. Hii ni ya kukataa na shoka

    asee thread tayari vuu bin vuuu, kama ni wewe ungefanyeje mkuu? 😂😂😂
  12. Mwanaume wa shoka utamjuaje

    Mwanaume wa shoka ni mvumilivu na asiyekata tamaa. Mambo yakiwa magumu anaweza kupigana na maisha, akiwa na pair moja ya viatu, suruali pair mbili. Anatoka asubuhi iwe jua iwe mvua anahakikisha watoto wamekula na ada za shule amelipa. Kuna watakaomcheka kwakua viatu vyake vimekwenda upande...
  13. UFC 259: Israel Adesanya Vs Jan Błachowicz ni ya kukata na shoka, si ya kukosa

    Balaa la UFC 259 ni zito. Light heavy weight Jumapili tarehe 7th March 2021 Ikumbukwe Israel Adesanya kijana ambae ni mzaliwa wa Nigeria lakini anaishi NewZealand amepanda weight class na kuingia light heavyweight na hili ni pambano lake la Kwanza tangu apande na anakutana na bingwa huyu mahiri...
  14. Mwanamke wa shoka

    Huyu nipo tayari kutuma na ya kutolea!😄😄😄Hongereni sana wanawake wote wapambanaji popote mlipo.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…