Shomari Salum Kapombe (born 28 January 1992) is a Tanzanian footballer who plays for Simba and the Tanzania national team. He previously played for Tanzanian Premier League side Simba and French National 2 side Cannes.
Kapombe appeared for Tanzania at the 2014 World Cup qualifiers.
Kiungo wa Azam FC, Feisal Salum maarufu Fei Toto akiwa amevaa jezi ya Simba aliyobadilishana na Shomari Kapombe baada ya kumalizika kwa mechi ya Ligi Kuu Bara kwa sare ya mabao 2-2 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa.
Hawa wawili ni full backs Bora kabisa kuwahi kutoka hapa Tanzania ( ila tukubaliane kazi na umri shehe )
Wametumika na makocha wengi kwa mda mrefu na Bado wanaendelea kutumika ( hili ndilo AMBALO Mimi nalikataa na nitalipinga daima )
Just imagine, kwenye mechi za kimataifa ni wao, NBC wao, fa...
Mshambuliaji Simon Msuva, Beki Shomari Kapombe na Mlinda mlango Aishi Manula wamerejeshwa kwenye kikosi cha Taifa Stars kwa ajili ya michezo miwili ya kufuzu AFCON 2025.
Taifa Stars itacheza dhidi ya Ethiopia, Novemba 16 na dhidi ya Guinea, Novemba 19, Benjamin Mkapa.
Kikosi cha Taifa Stars...
Nimekuwa nikifuatilia huu mfumo unaochezwa na Simba sasa wa kuwategemea mabeki wa pembeni waje kutengeneza nafasi kwenye kufanikisha mashambulizi pale na kushuhudia unavyotufelisha kwa sasa. Kwasababu:
Zimbwe tokea enzi hizo ni mbahatishaji kwenye kupiga cross sahihi na pasi za mwisho, na...
Football mchezo wa muda mfupi sana. Sasa shangaa Shomari Kapombe ambaye wakati anajiunga Simba aliwahi kupewa tuzo ya mchezaji bora chipukizi na bodi ya ligi.
Ni jana juzi tu lakini kwa sasa pale kambini anapewa shikamoo na wachezaji karibia 20 kasoro Mzamiru na Shabalala, wengine wote ni...
Kwa muda mrefu nimeangalia kikosi chagu cha Simba na inanisikitisha pale ambapo Hussein anakuwa majeruhi au Kapombe kawa na majeraha mbadala wao hawapo Simba.
Tangu wapo Misri pre-season siwakubali kabisaa Israel na mwenzake Gadiel Mbaga.... Uongozi wa Simba utafute wachezaji wa uhakika wa...
Nianze kwa kusema SAKHOOOOOO
Best goal of the year...
Lakini kila nikitazama video clip ya goal la sakho, namtazama pia Shomari kapombe, namna alivyofinya ball, akatulia na kumchagua SAKHO.
Mara nyingi tunamsifia aliyemaliza vizuri na kufunga goli na kumsahau aliyetoa pasi.
Haikuwa goli la...
Twende SAwa na fact Juu.
Shomari Kapombe amepata mbabe katika mbavu ya kulia.
Tunakiri kuwa Kapombe amekuwa tunu ya taifa na ana uwezo mkubwa mno kama beki wa kulia.
Ila huyu Djuma Shabani ni daraja lingine kabisa na uwezo wake ni funzo kwa mabeki wengi katika ligi kuu Tanzania.
CHUKUA HII...
Wadau wa JF,
Watanzania wote,
Wapenzi wa Soka,
Mimi ni mpenzi wa Klabu ya Yanga ila kwenye Mechi ya kesho ya Watani wa Jadi naombea sana Benchi la Ufundi la Simba liwapange wachezaji wafuatao kwenye Kikosi cha kwanza yaani 1st Eleven.
John Bocco, Paschal Wawa, Shomari Kapombe & Mohamed...
Ushauri Wangu Kuhusu Wachezaji John Bocco, Shomari Kapombe Na Erasto Nyoni
Wadau wa JF
Huu ndiyo ukweli hata kama unaumiza
Huu ndiyo ukweli wenye maslahi mapana kwa nchi yetu
Wachezaji John Bocco na Shomari Kapombe na Erasto Nyoni uwezo wao uwanjani umepungua pakubwa sana kutokana na umri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.