Sugu amesema hakutaka Chalamila apande kwenye steji kwa sababu hakutaka mambo ya kisiasi yaendelee na ilikuwa ni show ya muziki tu!
Hii alichofanya Sugu ni kizuri sana maana Chalamila angeleta uchawa wake wa kishamba kwenye burudani ya Muziki
Lakini Sugu amefuraishwa kuwaona Viongozi wakuu wa...