Nikiwa na mradi wa kujenga hospital huko Kilosa, mkoani morogoro, miaka kadhaa nyuma, nilipata kusikia taarifa hii ikizangazaa maeneo ya wodi ya wazazi, kuwa shujaa Daktari aliyeitwa ELIUD, kamuokoa mtoto asife baada ya mama yake aliyekuwa mjamzito KUKATA ROHO, ndani ya sekunde kadhaa vipimo...