shukrani kwa rais

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ngongo

    Najigaragaza mavumbini kama shukrani kwa Rais wangu

    Heshima sana wanajamvi, Leo nimeamua kujigaragaza mavumbini na baadae kwenye matope,mchanga,maporini kwasababu Rais wangu kipenzi anapiga mzigo wa viwango vya juu sana. Nampongeza Rais wangu hali ya usalama wa Raia imeimarika sana,mambo ya kutekana kubambikiana kesi na ujinga ujinga umekwisha...
  2. R

    Waziri anapotumbuliwa anapaswa kumshukuru Rais kupitia mitandao ya kijamii kama wanavyofanya wanapoteuliwa, kukaa kimya ni kiburi

    Tanzania na Afrika kwa ujumla hatuna tabia yakukiri kushindwa au kukosa uungwaji mkono. Tumejaaliwa kiburi kinachoambatana na kujipendekeza. Mawaziri kama Januari Malamba na Nape Nauye wameaminiwa sana kwenye wizara mbalimbali. Wakati wakiwa kwenye uwaziri walimwita Mhe. Rais Mama na siyo Rais...
Back
Top Bottom