Heshima sana wanajamvi,
Leo nimeamua kujigaragaza mavumbini na baadae kwenye matope,mchanga,maporini kwasababu Rais wangu kipenzi anapiga mzigo wa viwango vya juu sana.
Nampongeza Rais wangu hali ya usalama wa Raia imeimarika sana,mambo ya kutekana kubambikiana kesi na ujinga ujinga umekwisha...