Wasalaam,
Hakika Mungu wetu ni mwema nyakati zote, niseme tu mimi Mla Bata si miongoni mwa wafia dini yeyote, wala mwenye kuyajua mengi yahusuyo dini hizi mbili za (ukristo & uislamu), lakini ni mwenye imani ya kuamini kuna nguvu kubwa inayozidi nguvu zote, viumbe vyote na yote yaliyomo ndani...