shukrani

Shukrani Elias Manya is a Tanzanian academic Professor and politician belonging to the Chama Cha Mapinduzi political party in Tanzania. He is a Member of Parliament nominated by John Magufuli and was appointed as a deputy minister responsible for mining since December 2020. Before his appointment he was the executive secretary of the Mining Commission in Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. Shukrani kwa member aliyenisaidia

    Habarini wanajukwaa! Poleni na majukumu ya kulijenga Taifa letu pendwa Tanzania. Kuna muda nilileta ama nilikuja hapa kuomba Msaada kwa mtu anayeweza kunisaidia kwa namna yoyote nipate kazi mkono uende kinywani. Nashukuru Kuna member mmoja alinisaidia na leo ndio siku nimepata malipo/mshahara...
  2. Nimrudishie nini Bwana?

    Nimrudishie nini Bwana kwa ukarimu wake wote alionitendea? Nitakipokea kikombe cha wokovu na kuitangaza amani ya Bwana kwa neno lake, Zaburi 116:12. Mungu wangu u mwaminifu sana kwangu hata sasa umenipa makumi mawili matatu hapa kwenye ardhi yako nikiwa timamu na afya tele, ahsante Mungu kwa...
  3. Shukrani kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Tabora

    Kwa niaba ya Wananchi wa Jimbo la Igunga, Ninatoa shukrani kwa Chama chetu CCM Mkoa wa Tabora kwa kutupa heshima Wana Igunga kuwa wenyeji wa maadhimisho ya Miaka 46 ya Kuzaliwa kwa Chama cha Mapinduzi (CCM). Maadhimisho yamekuwa hamasa na chachu ya kufanya kazi kwa bidii katika kuleta...
  4. Shukrani kwa zawadi ya marafiki

    Kuna wakati katika haya maisha unaweza kukutana na changamoto ikakutesa kwa kipindi kirefu, ila siku moja ukakutana na mtu akakutoa kwenye changamoto hiyo kwa kipindi kifupi sana. Tiririka hapa kuonyesha thamani kwa marafiki ambao wamesimama nasi kuliko hata ndugu.
  5. F

    Neno la shukrani kwa Kamati kuu na NEC ya CCM kwa uteuzi bora wa wagombea

    Kwa mara nyingine tena siwezi kuficha hisia zangu za furaha kwa kazi nzuri iliyofanywa na kamati kuu na Halmashauri kuu ya CCM taifa kwa uteuzi bora wa wagombea. Nami pia nilikuwa ni moja ya watia nia kwa nafasi ya uenyekiti wa UVCCM Taifa lakini sijafanikiwa kupita lakini hilo haliachi...
  6. Rais Samia waminye Watanzania, hawana shukrani

    Hi! Tulipitia kipindi kigumu kiuchumi, kijamii na kisiasa kwa miaka 6 mfululizo. Kila mmoja shahidi, vyuma vilikaza sana. Wananchi hali ngumu, watumishi taabani. Furaha ya wananchi ilikuwa kusikia kiongozi ametumbuliwa, wananchi waliaminishwa pesa zao zilikuwa zimeibwa na viongozi mafisadi na...
  7. Shukrani kwa Wananchi... Sasa namalizia mjengo wangu

    Kwanza sifa zote ziende kwa mwenyezi Mungu mwingi wa rehema kwa kunipa pumzi, Alhamdullilah. Tulidharauliwa sana. Kipindi naenda kusoma ndugu walikaa kikao wakawa wanasema "unapoteza muda tu, hiyo kozi hailipi." "Kwanza kuna ajira huko?" "Mishahara yao midogo sana" "Kwanza kazi ya kukimbia...
  8. D

    Shukrani zangu za dhati kwa Wana JamiiForums, nimepona

    Habari zenu wanajamii Ninauleta uzi huu nikitoa shukrani zangu za dhati kuishukuru forum hii kwani mwaka jana mwezi wa tano nilisumbuliwa sana na vipele kama rashes flani hivi Nilitumia dawa mbalimbali ila si zote ila kupitia forum hii nilipata dawa humu humu na asubuhi yake nikaenda kununua...
  9. KIPWA/CHIPWA: Kijiji ambacho kilikuwa katika dunia ya peke yake. Shukrani kwa Mama Samia.

    KIPWA/CHIPWA: Kijiji ambacho kilikuwa katika dunia ya peke yake. Shukrani kwa Mama Samia. Tarehe 15/10/2020 ni siku niliyotembelea kijiji cha Kipwa, kilometa 85 kutoka Sumbawanga mjini, mpakani mwa Tanzania na Zambia, ikabidi nijiambie kwamba hiki ni kijiji katika ulimwengu wake. Kwa Watanzania...
  10. Shukrani ya Wapigania Uhuru ni kuacha watoto wasiojua baba zao Maeneo ya karibu yaliyokuwa makambi yao

    Salaam, Kwa kweli sijapenda hawa wapigania uhuru kutoka Namibia, Msumbiji, Zimbabwe kutuachia watoto wasiojua baba zao, leo siku ya mashujaa kuna kambi kule Mtwara ni huruma. Mama mmoja anajieleza walivyokuwa wanatongozwa na kuvalishwa magwanda ili waingie makambini. NB: Tunaomba zoezi la...
  11. M

    Tuwe na Shukrani kwa Rais Samia, sio mawe tu kwa sintofahamu ya Mishahara

    Najua mtanipinga, lakini tusaidiane kuelewa kidogo. Kwanza asieshukuru kwa kidogo hawezi kuwa na shukrani kwa makubwa. Watumishi tulkua na matarajio makubwa sana juu ya 23%, lakini imetokea ilivyotokea. Ila, kwa mapato ya Nchi yetu na idadi ya watumishi hiyo 23% ingepigwa hivo kwa kila mtu...
  12. Fanya mambo yako achana na kusaidia wanawake. Wanawake ni wabinafsi sana na hawana shukrani

    Wakuu salaam, Tofauti na mama yako na mke wako wanawake wengine wote achana kujifanya kuwasaidia wanakuchora tu. Wanawake ni viumbe wabinafsi kuliko viumbe wengine wote chini ya mawingu mpaka chini ya bahari. Kuna tofauti ndogo ndogo baina yao ila kwa ujumla package nzima wako sawa wote...
  13. P

    Tuzo aliyopewa Rais Samia na shukrani zake kwa mtangulizi Hayati John Magufuli

    Unaweza ukamkejeli kadri unavyojisikia kwamba alikuwa mtesaji, alikuwa mkabila alikuwa mkatili. Unaweza ukamsimanga kadri ya uwezo wa akili yako utakavyokuwezesha, hataweza kukujibu amelala usingizi wa milele na hataweza kuamka. Amepumzika nyumbani kwake Chato, na siku alipokuwa njiani kuelekea...
  14. Kweli tenda wema nenda zako, usingoje shukurani

    Nipo kwa sister hapa naaangalia angalia michongo ya kazi hapa Town. Tulikuja Mjini kutafuta pesa siyo kuangalia magorofa. Mimi mtoto wa kiume lazima nijitume. Kama matunda yangu yapo basi lazima niyachume. Kuna siku hapa nliandika namna ambavyo nlimsaidia shemeji kwenye issues zake za ndoa kwa...
  15. DRC State-owned shipping line to set base in Mombasa

    Kwa mwendo huu tu... ====== A shipping line from the Democratic Republic of Congo plans to start its operations from Mombasa beginning June this year. The state-owned shipping line, the Lignes Maritimes Congolaises (LMC) seeks to channel more DRC imports and exports cargo through the Port of...
  16. B

    Ndalichako atoa hotuba iliyojaa pongezi na shukrani Mei Mosi 2022

    Yani kila wakati najiuliza sana, Hawa maprof sijui akili huwa wanaziacha wapi, leo Prof katoa Pongezi na shukrani Hotuba nzima Mpaka nakaa najiuliza sana, hivi kazi ya Prof Wizara ya kazi ni Nini hasa? Kumsifia Rais au kunisaidia Rais? Ukitazama Hotuba aliyotoa CDR MTAKA, utagundua utofauti...
  17. Kutoka Mwanza: Watu watoa shukrani zao kujumuishwa kwenye FOA World Tour ya Diamond Platnumz

    Baada ya msanii namba moja Africa Diamond Platnumz kutoa part one ya FOA WORLD TOUR na kujumuisha mkoa wa Mwanza, watu mbalimbali wamejitokeza na kutoa shukrani kwa heshima aliyowapa watu wa Mwanza. Nimetoka Mwanza hivi juzi kila kona kuanzia Bwiru, Ilemela, Igoma, Nyegezi na maeneo yote...
  18. K

    Wastaafu tunamshukuru Rais Samia, pensheni inaingia kwa wakati

    Leo tarehe 24.3.2022 pensheni kwa Wastaafu tayari imeingia tofauti na nyakati za zamani. Kwa niaba ya Wastaafu ninakushukuru kwa Wastaafu kupata pensheni yao mapema. Tunakuombea afya njema ili uweze kuliongoza Taifa.
  19. Shukrani mama Samia; Tanzania, Kenya resolve 10 more trade hindrances

    Dar es Salaam. Tanzania and Kenya have resolved ten more trade barriers in effort to grow the trade between the two member states of the East African Community (EAC). President Samia Suluhu Hassan visited Kenya last May and met her counterpart Uhuru Kenyatta to mend the then deteriorating...
  20. J

    Kijana aliyenusurika kifo kwa manyanyaso ya ndugu, atoa shukrani kwa kutolewa gizani

    Anord Patrick Kalinga (21) mkazi Mlevelwa, Kata ya Mdabulo, Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa ambae ni miongoni mwa vijana 100 kutoka kwenye familia duni walioibuliwa na Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi na mradi wa Youth Agency Mufindi (YAM) amepongeza mradi huo kwa kumuona. Anord alisema akiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…