Pongezi kwa Wananchi wa Mkoa wa Simiyu kwa Ushindi Mkubwa wa CCM katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji
Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu kinapenda kutoa pongezi za dhati kwa wananchi wote wa Mkoa wa Simiyu kwa kuonyesha imani kubwa na kuendelea kutoa msaada wa hali ya...
Ndugu zangu Watanzania,
Nimekaa nikawaza ,kufikiria na kurudisha kumbukumbu nyuma mahali tulikotoka ,tulipo na tunakokwenda na kufikia hatua kusema kuwa kwa hakika Watanzania bila kujali itikadi za vyama vyetu, makabila yetu,Dini zetu,jinsia zetu,ukanda na rika.
Tuna kila sababu ya kusema...
Bila shaka serikali imefanya jitihada kuhakikisha wananchi wake tunapata huduma ya umeme yenye uhakika!🫣🫣
Tumezika msamiati wa Mgao wa Umeme ila bado tunaendelea kutumia Misamiati ya Kuzima mitambo ili kufanya matengezo!
Miaka ya nyuma alilazimisha mitambo isizimwe ndiyo maana hapakuwa na mgao...
Baada ya kuachia wimbo wa "Mapozi" akishirikiana na Byser pamoja Jay Melody, staa wa muziki wa Bongo Fleva Naseeb Abdul amerudisha maneno ya shukurani kwa Msanii Mr Blue "Byser".
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Diamond Platnumz ameandika,
"BIZZY BABYLON!!! ICON !👑 Rolemode wa Vijana wengi...
Inasikitisha sana Kwa kweli Kwa mashabiki wengi wa timu kubwa nchini,hususan mashabiki wa Simba na Yanga.
Mashabiki Hawa wamekua hawana shukurani kabisa kwa wa chezaji waliopungua uwezowao,Mfano wachezaji wa Simba ambao ama Kwa umri wao ama Kwa nyakati Tu au sababu nyingine inapopelekea viwango...
Habari wa wakati huu JF members. Na imani mkoa powa sana, niende moja kwa moja kwenye jambo lililonifanya nipost kwma mara ya kwanza humu JF.
Mimi siyo mwalimu na sijawahi kuwa mwalimu na ndoto ya kuwa mwalimu lakini hili swala la wanajf kuwatukana walimu ni mambo ya ushamba na ujinga...
📍 Igunga, Tabora
"NENO LA SHUKRAN"
Tunatoka shukrani zetu za dhati kwa Wakazi wa Jimbo la Igunga na Wananchi waliotoka maeneo mbalimbali kushiriki nasi kwenye Dua na Mazishi ya Mzee wetu Saleh Amor, (Katibu wa Elimu, Malezi na Mazingira wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.