Salaam Wanajamvi
Mimi ni mwanafunzi wa Thaqaafa Mwanza, kiukweli waziri wa elimu namchukia Sana pamoja na baraza la elimu hiii. Ni kwa sababu ya kuharibu mfumo mzima wa elimu na kutuletea BRN Viongozi wengi unakuta wakijinadi katika majukwaa Kwamba Serikali imejenga shule maabara za kutosha...