Mbunge wa Rombo Mkoani Kilimanjaro ambae pia ni Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda ameendelea na ziara yake yakufanya Mikutano ya hadhara ili kusikiliza kero za wananchi pamoja nakuwaeleza yale ambayo yamefanyika katika Jimbo hilo kwa kipindi cha miaka minne tangu awe...