Baadhi ya wakuu wa shule hasa zile kongwe na zinazofanya vizuri katika mitihani ya taifa ambazo ni za umma wamekuwa ni kero kubwa sana. Wamekuwa wakiwatoza fedha baadhi ya wanafunzi wanaotaka kuhamia kwenye shule hizo.
Baadhi yao wanawatoza wazazi shilingi Laki 1 hadi Laki 5 ili waweze kupata...