Habari,
Nina mtoto wangu anatatizo la kuzungumza naomba kwa mwenye uwelewa wa zile shule zinazo wafundisha gharama zao na zilipo tafadhari mtoto yupo KISAKI MOROGORO msaada jamani maana anazidi kukua na tulijaribu kumpeleka hizi shule za kawaida ila maendeleo yake sio mazuri.