Uongozi wa shule ya sekondari ya Kiyanga halmashauri ya mji Nanyamba mkoani Mtwara, umelazimika kuanza masomo na wanafunzi 74 wa kidato cha kwanza wasiokuwa na sare, ili kuendana na ratiba za masomo.
Mkuu wa shule hiyo Vagrey Kidava, amesema shule yao ni mpya na imefunguliwa Februari 10, 2025...