Bunda high school zamani ikijulikana kama Bunda day ilianzishwa kama shule ya tarafa mwaka 1990. Tunaweza kusema ni kati ya shule kongwe wilayani Bunda.
Kwa sasa ina vidato vyote kuanzia kidato cha kwanza mpaka cha sita. Ni shule yenye walimu wa kutosha, miundombinu ya kutosha na kama haitoshi...