shule ya msingi kwembe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    Madai ya Wanafunzi kusomea chini ya mti Shule ya Msingi Kwembe (Dar), Serikali yasema walikuwa katika programu maalumu

    KUKANUSHA TAARIFA YA KUKAMATWA KWA MWANDISHI DICKSON NG'HILY NA MKUU WA WILAYA YA UBUNGO Kumekuwa na taarifa inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu Mkuu wa Wilaya ya Ubungo kumkamata mwandishi wa habari ambaye pia ni Mhariri wa biashara na Mkuu wa Kitengo cha Mtandaoni (digital) Ndugu...
  2. Roving Journalist

    THRDC yakemea Mwandishi wa Habari kukamatwa kwa kupiga picha Wanafunzi wa Shule ya Msingi Kwembe wakisoma chini ya mti

    Baada ya andiko la Mwandishi wa Habari wa The Guardian kudaiwa kushambuliwa na Walimu, THRDC imetoa tamko, kusoma ilivyokuwa bofya hapa ~ Mwandishi wa Habari wa The Guardian anadai amepigwa na Walimu baada ya kupiga picha Wanafunzi wakisoma chini ya miti. TAARIFA YA KUKAMATWA KWA MWANDISHI...
  3. BigTall

    Mwandishi wa Habari wa The Guardian anadai amepigwa na Walimu baada ya kupiga picha Wanafunzi wakisoma chini ya miti

    Nimeona ujumbe huu ukisambaa kwenye mitandao ya kijamii pamoja na picha husika, nikaona niusogeze hapa ili Wadau watie neno..... Mimi ni Dickson Ng'hily Mhariri wa Biashara na Mkuu wa Kitendo cha Digital The Guardian Wakuu hamjambo.. Nimekamatwa na Walimu wa Shule ya Msingi Kwembe, Kata ya...
Back
Top Bottom