Naripoti kutoka Shule ya msingi Upendo Mbezi Louis, kuwa uongozi wa Mwalimu Mkuu wa shule hiyo pamoja na msaidizi wake namba 2 ni wa ki maslahi binafsi na usio wa ushirikishwaji kwa Walimu wengine, matusi, dharau na kashfa mbalimbali
1. Upangaji wa Walimu kwenye vipindi ni wa ovyo na usio na...