Nimefika Shule ya Msingi Sinza iliyopo Sinza, Dar es Salaam, kwa ajili ya kumuandikisha Mtoto wa Dada yangu ili kuanza masomo ya Darasa la Kwanza, lakini nasikitika kusema nilichokutana nacho ni huzuni kubwa kama sio mshangao, hali hiyo imenifanya nibadili uamuzi na kuamua kumpeleka kwenye Shule...