shule ya sekondari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Shule ya Sekonari ACT Bunda Girls inavyopoteza muelekeo wake

    Ni shule ya wasichana iliyo katika halmashauri ya mji wa Bunda mkoani Mara.Inamilikiwa na kanisa la Anglican dayosisi ya Mara. Taaluma katika shule hii ni ya wastani sana ukilinganisha na hadhi yenyewe ya "u private". Kwa kifupi inazidiwa kiwango cha Taaluma na shule nyingi tu kata zilizo...
  2. LGE2024 Kagera: Mbunge Neema Lugangira apiga Kura Shule ya Sekondari Kahororo

    Mbunge wa Viti Maalum (CCM) anaewakilisha Asasi za Kiraia Tanzania Bara Mheshimiwa Neema Lugangira amepiga kura kuamua Fyucha ya Kitaa kwenye kituo cha kupigia kura shule ya sekondari Kahororo Mtaa wa Rwome, Kata ya Kashai Bukoba Mjini.
  3. Mbeya: Walimu Shule ya Sekondari ya Meta, wagoma kufundisha kudai mishaara

    Walimu na wafanyakazi Shule ya Sekondari ya Meta, iliyopo mkoani Mbeya, inayomilikiwa na Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi, wamegoma kuendelea kufundisha na kuwasimamia mitihani inayoendelea katika shule hiyo wakishinikiza kulipwa malimbikizo yao ya mishara ambayo hawajalipwa kwa zaidi ya...
  4. Wananchi Kiteto Wamuomba Mbunge Ole Lekaita Shule ya Sekondari, Umeme na Barabara

    Mbunge wa Jimbo la Kiteto, Mhe. Edward Ole Lekaita amemkabidhi Mwanafunzi mwenye ulemavu wa miguu Kitimwendo alipotembelea Shule mpya ya Msingi Nguzosita iliyojengwa kwa gharama ya zaidi ya Shilingi Milioni 500. Aidha, Mhe. Edward Ole Lekaita amechangia mifuko ya Saruji 100 kwaajili ya Ujenzi...
  5. Mbunge Mavunde Akabidhi Uwanja wa Michezo wa Kisasa Shule ya Sekondari K/Ndege Dodoma

    Ni wa michezo ya Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mh. Anthony Mavunde amekabidhi kwa uongozi wa Shule ya Sekondari Kiwanja cha Ndege kiwanja cha kisasa cha michezo ya mpira wa kikapu,pete na wavu kama sehemu ya kukuza na kuendeleza vipaji vya wanafunzi wa Jijini Dodoma. Tukio hilo limefanyika...
  6. Tetesi: Wanafunzi wa kike shule ya sekondari Thaqaafa Mwanza wanusurika Kubakwa

    Wanafunzi wakike shule ya Sekondari Thaqaafa iliyoko mkoa wa Mwanza , wilaya ya Nyamagana wamenusurika kubakwa baada ya vibaka watatu kuingia ndani ya bweni saa nane usiku. Wakiwa katika harakati za kumziba mdomo mmoja wa wanafunzi ili asipige kelele waanze kumbaka, ghafla mwanafunzi mwenzake...
  7. Waziri Silaa ameweka jiwe la msingi Shule ya Sekondari Sekoutoure iliyogharimu zaidi ya Shilingi bilioni moja

    Waziri Habari, Mawasiliano na Teknilojia ya Habari, Jerry William Silaa ameweka jiwe la msingi Shule Mpya ya Sekondari Sekoutoure iloyopo Kata ya Ilongero Wilaya ya Singida kuashiria uzinduzi rasmi wa shule hiyo ambayo ujenzi wake umegharimu kiasi cha zaidi ya Shilingi bilioni moja. Shule...
  8. Bashungwa Aweka Jiwe la Msingi Shule ya Sekondari Jakaya Kikwete - Chalinze

    BASHUNGWA AWEKA JIWE LA MSINGI SHULE YA SEKONDARI JAKAYA KIKWETE - CHALINZE Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Dira ya Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ni kuongeza idadi ya Shule za Msingi na...
  9. J

    Bashungwa aweka jiwe la msingi shule ya sekondari Jakaya Kikwete - Chalinze

    BASHUNGWA AWEKA JIWE LA MSINGI SHULE YA SEKONDARI JAKAYA KIKWETE - CHALINZE Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Dira ya Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ni kuongeza idadi ya Shule za Msingi na...
  10. Njombe: Prof. Mkenda azindua nyumba pacha ya Walimu wa Shule ya Sekondari ya Lubonde

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkendaleo Oktoba 03, 2024 amezindua nyumba pacha ya Walimu wa Shule ya Sekondari ya Lubonde iliyopo katika Kata ya Lubonde Wayani Ludewa Mkoa wa Njombe. Akizungumza baada ya uzinduzi huo Waziri Mkenda amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano...
  11. Helios Towers, kwa Ushirikiano na Camara, Yakabidhi Maabara ya Tehama Shule ya Sekondari ya Jamii ya Wafugaji ya Endevesi, Oljoro, Arusha.

    Kampuni ya Helios Towers, Yakabidhi Darasa la Maabara ya Tehama na Compyuta 26 kwa Shule ya Sekondari ya Endevesi, ambayo ni ya watoto wa wafugaji, Eneo la Oljoro Arusha. Kampuni ya Helios Towers, inayoongoza kwa miundombinu ya mawasiliano kwa njia ya minara, kwa ushirikiano na taasisi ya...
  12. Mbunge Mavunde Azindua Shule ya Sekondari Mkoyo-Hombolo Jijini Dodoma

    MBUNGE MAVUNDE AZINDUA SHULE YA SEKONDARI MKOYO-HOMBOLO JIJINI DODOMA -Ni Shule iliyojengwa na Mbunge Mavunde na Serikali -Shule yapewa Jina la Anthony Mavunde -Watoto wanusuriwa kutembea kilomita 15 kufuata Shule -Serikali ya Rais Samia yapongezwa kwa usikivu 📍Hombolo,Dodoma Mbunge wa...
  13. DOKEZO Walimu wa Shule ya Sekondari Rasesa wawashikisha watoto Pedi chafu

    Wasalaam Jana jioni nimesikia kisa cha kushangaza sana. Wakati nikiwa kwenye simu naongea na aunt, mtoto wa form one (mtoto wa aunt) alirudi analia. Kumuliza analia nini? Akajibu shuleni wameshikishwa pedi chafu Kisa kenyewe ni hiki kilichotokea shule ya Rasesa Secondary School huko Rawia...
  14. A

    KERO Shule ya Sekondari Vituka (Dar) inatutoza Tsh. 30,000 kwa ajili ya Vyeti wakati hatuna madeni

    Mimi ni mkazi wa Mbezi ya Kimara nilihitimu Kidato cha Nne kwa kufanya mitihani ya PC (Private Candidate) Mwaka 2020, Kituo change cha Mitihani kilikuwa Shule ya Sekondari Vituka, ipo Wilaya ya Temeke Mtaa wa Buza. Kutokana na changamoto za kimaisha nikachelewa kwenda kuchukua cheti cha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…