Mimi ni mwalimu niko Tabora, kwa sasa nafundisha Shule ya IPULI HOLY FAMILY PRE AND PRIMARY MISSION SCHOOL, baada ya ajira za Ualimu kutangazwa za Serikalini niliomba, nikapata nafasi ya kwenda kufanya usaili.
Baada ya kurejea manager wa shule yangu amekuwa akitushinikiza kuandika barua mimi na...