Kuna watu wanajeuri sijui ya fedha? Mtoto wake mwaka jana alifaulu kwa wastani wa "C" kapelekwa shule ya kata kama wanafunzi wengine wote. Pamoja na kwamba hizi shule za kata kuna wanafunzi waliingia kwa wastani wa "A". Sasa huyu jamaa anamuhamishia kidato cha pili shule za bweni kitaifa...
Habari,
Samahami nimejikuta katika wakati Mgumu sana baada ya mwanangu kumaliza darasa la saba mwaka huu 2024.
Tumekuwa tukivutana na mke wangu sana. Mtoto kapata shule nyingi za boarding namaanisha private. Katika shule hizi kuna boarding mchanganyiko na boarding ya single. Namaanisha Jinsia...
Hili jambo limesumbua sana wazazi, na shule zingine huwezi kiuamini kama wanafanya mchezo huo kwa sababu ni shule za dini mno,ila watoto wakiwa pale, wanaanziana huo mchezo mchafu.
Hivi hizo shule hazina waalimu? hawana intelijensia ya shule, mbona wakifanya uchunguzi wanafunzi wenyewe...
Kuna jambo moja hatulifahamu sisi Waafrika nalo si jengine bali ni kulinda tamaduni zetu za Kiafrika,tumeshindwa kabisa kulinda tamaduni za kiafrika kutokana na changamoto za kimazingira ambapo kimsingi kunakuwa na athari katika tamaduni zetu.
Tamaduni ni mfumo mzima wa maisha ni kitu ambacho...
TUKIO LA UBAKAJI SHULENI: WAZAZI MUWE MAKINI NA WATOTO MNAOPELEKA SHULE ZA BWENI
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Mwaka 2016 nilipata kibarua cha kujiegesha katika shule ya binafsi maeneo ya Mwembe Mtengu, Kigamboni.
Ile shule nikakuta waalimu wengine vijana ambao ni rika langu. Hapakuwa na...
Ndugu zangu kuna haja kufanya marejeleo katika suala la shule za bweni kwa vijana wetu wa kiume kwasababu zinachangia kwa kiwango kikubwa katika suala zima la mmomonyoko wa maadili.
Uchache wa Shule za Bweni nchini umesababisha Wanafunzi 46,251 kukosa nafasi ya kujiunga na Shule zenye huduma hiyo Nchini
Idadi ya Shule za Serikali zinazochukua Wanafunzi wa Kidato cha Kwanza mwaka 2023 ni 4,307 ambapo Shule za Kutwa ni 4269 na Bweni ni 38 zenye uwezo wa kupokea Wanafunzi...
Kenya imetangaza kuanzia mwakani hakutakuwa na Bording school kwa watoto wa shule za msingi na wazazi wanapaswa kuwa wanawapeleka watoto shule asubuhi.
Hii ni kwa ajili poa ya kutaka watoto wawe karibu sana na Wazazi wao kwa swala zima la malezi.
Sasa njoo kwwtu Tz ambako kupeleka mtoto mdogo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.