Tumeanza kupata usajili wa "High Schools za Masomo ya Sayansi:"
(i) Suguti Sekondari itakuwa na "High School" ya masomo ya: PCM, PCB, CBG na EGM
(ii) Mugango Sekondari itakuwa na "High School" ya masomo ya: CBG na EGM
Kila Sekondari iliyotajwa hapo juu ina maabara 3 za masomo ya sayansi...