Unajua ukishajua maana halisi ya elimu hauwezi kuja humu una babwaja babwaja.
Sasa ndio elimu gani hio eti ufaulu wa a teengaer utegemee akili special na extra ordinary. Ndio maana unakuta division 2 moja then 3 tano 4 zinakuwa 250 0 zero zinakuwa 80.
Some people need to be pushed to be...
Nimejaribu kuzura kuangalia matokeo kwa shule mbalimbali nikilinganisha.privaye schools na kayumba napaa wasiwasi hujuma inafanyika kuzipa promo private schools.
Kwa kweli Matoleo ya ovyo mno tena ovyo kabisa kwa kayumba schools. Asilimia kubwa ya shule hizi wana wastani wa C, huku privtae...
Utamsikia mtanzania anaziponda shule za Kayumba akisema " Shule za Kayumba hazifai kwa sababu kuna watoto wengi sana"
Nabaki najiuliza hivi huyu mzazi ana fahamu chochote kuhusu saikolojia ya watoto?
Anafahamu kuhusu umuhimu wa stage ya kimaisha ya mtoto iitwayo" Childhood"?.
Anyway...
Mwameja Mohamed Mwameja ni moja kati ya makipa bora kabisa kuwahi kutokea kwenye historia ya soka la Tanzania.
Akifanya mahojiano na BIN Zubeir @ Azam Tv, aliulizwa swali nini siri ya ubora wa hali ya juu alio kuwa nao langoni.
Majibu ya Mwameja: "Nilikuwa nafanya mazoezi magumu kuliko mechi...
Elimu bora ina fanya mambo matatu:
1. It will help you to acquire power.
2. It will help you to maintain power
3. It will help you to protect power.
Kwa bahati mbaya sana mfumo wa elimu yetu ya Tanzania hau guarantee hayo mambo matatu.
As a matter of fact juu ya sayari ya dunia kuna kikundi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.