Mwameja Mohamed Mwameja ni moja kati ya makipa bora kabisa kuwahi kutokea kwenye historia ya soka la Tanzania.
Akifanya mahojiano na BIN Zubeir @ Azam Tv, aliulizwa swali nini siri ya ubora wa hali ya juu alio kuwa nao langoni.
Majibu ya Mwameja: "Nilikuwa nafanya mazoezi magumu kuliko mechi...