Salaam,
Nilikuwa naangalia matokeo ya darasa la nne kwa shule ya Kijijini kwetu. Kati ya watoto 39 wa darasa hilo, ni watoto 7 tu waliofaulu kwenda darasa la tano, tena kwa daraja la D. Shule hiyo ina walimu wawili tu, Mkuu wa shule na mwalimu mwenzake.
Shule hii, iliyoanzishwa mwanzoni mwa...