shule za kulipia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nawasikitikia sana wazazi wenye vipato vya kati mnaojitesa kuwasomesha watoto wenu (Gen Z) kwenye shule za mamilioni

    Mnapoteza pesa zenu tu bure kuwasomesha hawa watoto ambao mnawaita zoomers Generation (Gen Z) Nimewachunguza hawa watu. Nimeenda hadi chuo kimoja cha kati kusoma kozi ya miezi mitatu ili niwasome hawa viumbe. They have cut from a very different cloth. Don't waste your money please...
  2. Hivi kuna watoto waliosomeshwa shule za kulipia na ni jobless?

    Hivi kuna watoto waliosomeshwa shule za kulipia na ni jobless maana hii inafikirisha? Iwe shule ya msingi ama sekondari au hata chuo na bado akawa jobless hii inawezekana? Na kama ni ndio tatizo linakuwa nini? Mzazi kutojitambua ama nini? Au anafanya gambling kwenye mafanikio ya mwanae? Au...
  3. Mtanzania acha kuji-stress kuwalipia watoto wako mamilioni kwenye shule za English Medium. Kilichomtokea Mr. Ibu kinaweza kukutokea hata wewe

    Simsomeshi mwanangu ili baadae aje kuwa ananipa hela. La hasha! Ninamsomesha mtoto wangu ili aweze kupata uwezo wa kujitegemea mwenyewe na kuwa responsible member of a society. Kuwa responsible member of a society ni pamoja na kuwa useful to his or her parents or siblings in time of need like...
  4. Ina maana gani kumsomesha mtoto kwa mamilioni ya fedha halafu anapangiwa Shule za kawaida?

    Ina tija gani? Halafu ili iwe nini? Na kwanini? Yaani nasomesha mtoto FEZA, GREEN ACRES, ST. MARYS SCHOOLS au MARIAN SCHOOLS halafu selection mnampeleka NKASI, CHUNYA, NAMTUMBO au SONGEA? Hivi hizi selection ziko fair kweli!? Kwanini selection ziendelee kuwa harassment kwa vijana na wazazi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…