Habari,
Samahami nimejikuta katika wakati Mgumu sana baada ya mwanangu kumaliza darasa la saba mwaka huu 2024.
Tumekuwa tukivutana na mke wangu sana. Mtoto kapata shule nyingi za boarding namaanisha private. Katika shule hizi kuna boarding mchanganyiko na boarding ya single. Namaanisha Jinsia...