shule za msingi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    SHULE ZA MSINGI ZAIDI YA 468 ZIMEJENGWA TANGU RAIS SAMIA ALIPOINGIA MADARAKANI

    Tangu kuingia madarakani Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan mwaka 2021, shule za msingi mpya zaidi ya 468 zimejengwa huku vyumba vya madarasa zaidi ya 15,000 vipya vya msingi na Sekondari vimejengwa, lakini kama haitoshi kumejengwa shule za awali 1,600 ambazo...
  2. M

    Walimu wa shule za msingi mna shida gani?

    Walimu wa shule ya msingi tulizeni vichwa mnapokuwa mnafanya usajili wa watoto kwenye mifumo ya serikali. Wakati wa usajili mathalan Darasa la kwanza au darasa la nne huwa mnatuagiza tulete vyeti vya kuzaliwa vya watoto ili kuepusha mpishano wa majina au herefu kwani mtoto anaposajiliwa darasa...
  3. School Buses: Shule za Msingi na Sekondari za Serikali

    Tanzania ! Tanzania ! Habari za muda huu wananchi wenzangu vipenzi vya Taifa letu Tanzania ! Naomba kutoa wazo na mchango wangu kwa Wizara ya Elimu Tanzania. Ikiwapendeza tunaomba huduma ya Usafiri kwa wanafunzi wa Shule za Msingi na Sekondari za Serikali nchi nzima haijarishi Jiografia...
  4. K

    Wanafunzi wa shule za msingi na chekechea wasogezewe mbele masaa ya kuanza masomo.

    Ni Asubui ya saa 12 naelekea zangu kituo cha daladala ili niwai kazini,pembezoni mwa barabara naona watoto wawili wa kike wamesinzia na kulaliana.Mdogo kamlalia mkubwa mapajani,mkubwa kajiegemeza kwenye ukuta.Niliwafikia nikamuona mdogo kavaa sare za shule ila mkubwa kavaa nguo za nyumbani na...
  5. Ushauri: Maswala ya Elimu yote kuanzia shule za msingi mpaka vyuo vya ualimu yawe chini ya Wizara ya ELIMU, TAMISEMI wapunguziwe mzigo.

    Husika na kichwa habari hapo juu; Nashauri, masuala yanayohusu Elimu nchini yashughulikiwe kipekee zaidi kuanzia usimamizi na uratibu wake. Hivyo basi: nashauri wizara ya Elimu iwe ndo mratibu mkuu wa shughuli zote za Elimu nchini kuanzia halmashauri mpaka Taifa, na vibao vyote vya shule...
  6. shule nyingi za msingi zinachaji ada milioni kazaa ila zinazidiwa ubora wa miundombinu na ufundishaji na shule za msingi za serikali kama MiKONGENI

    huu ni ukweli mchungu. tazama mwenyewe video uone ubora wa shule hii ya msingi ya serikali wanaiita kayumba english medium. inayoitwa Mikongeni primary school iliyopo gongo la mboto dar kisha linganisha na private primary school iliyo jirani na unapoishi ilivyo ama shule ya private...
  7. Dar kuna shule za msingi za serikali nyingi sana zimebadilishwa kuwa english medium. Tusikariri Olimpio tu. Mpeleke mwanao ya karibu na unapoishi

    Wazazi wengi wanahangaika kupeleka watoto olimpio tu. Huku wanaishi mbali na mjini. Hizi ni baadhi ya shule za msingi za serikali zilizobadilishwa kuwa english medium. Ambazo sijazitaja , sizijui naomba wengine mzitaje ili wote tuzijue 1. Chang'ombe Duce primary school ipo ndani ya Duce...
  8. Pre GE2025 Waziri Abdallah Ulega na DC Khadija Nasir Wakabidhi Madawati 3,000 kwa Shule za Msingi na Sekondari Mkuranga

    Naona bwana mkubwa Ulega anaendelea kujitengenezea mazingira ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2025. Yani yupo tayari kusomesha wanafunzi. Haya tunasubiri tuone itakuwa mwendelezo au ndiyo lambisha utamu wa asali tu kwa muda. Muda utaongea vizuri! =================== Mbunge wa Mkuranga mkoani...
  9. A

    KERO Ucheleweshaji wa fedha za kuendeshea shule za msingi za serikali

    Kila mwezi serikali inaingiza fedha za uendeshaji shule kwa kuzingatia idadi ya wanafunzi, fedha hizo zimekuwa zikichelewa sana na kusababisha kero kwa walimu , lakini upande wa sekondari huwekewa fedha zao mapema. Pamoja na changamoto hizo wanazopitia walimu wako baadhi ya madiwani wanaopanda...
  10. Judith Kapinga kutoa Kompyuta 139 Shule za msingi Wilaya ya Mbinga vijijini

    Naibu Waziri wa Nishati ambaye pia ni Mbunge wa Vijana Mkoa wa Ruvuma (CCM), Mhe.Judith Kapinga ameahidi kutoa kompyuta 139 katika Shule za Msingi 139 zilizopo Halmashauri ya wilaya ya Mbinga Vijijini ili kuchochea kasi ya ukuaji wa Elimu katika wilaya hiyo. Mhe. Kapinga ametoa ahadi hiyo...
  11. Live from TEMTL HQ DSM: Hafla ya utoaji tuzo za via za usalama barabarani kwa shule za msingi za totalenergies kwa ushirikiano na karibu art space.

    Wanabodi, Mimi mwanabodi mwenzenu, niko mitaa ya Masaki kwenye Makao Makuu ya Kampuni ya Mafuta ya TotalEnergies, kuwaleta live hafla ya utoaji wa Tuzo za VIA za TotalEnergies kwa ushirikiano na Karibu Art Space kwa shule za msingi za jijini Dar...
  12. Pre GE2025 CHADEMA mko wapi? CCM wanapita mashuleni na kuandikisha watoto wa shule za msingi na sekondari wote kama wanachama wao kwa mfumo wa kidigitali

    CHADEMA na ACT WAZALENDO mko wapi nyie? Msije mkasema hatukuwaambia... Watoto wangu wawili (kidato cha 1 & 2) wanaosoma shule moja ya kutwa hapa Shinyanga Manispaa wamefika nyumbani jana na kuniambia kuwa CCM walifika shuleni na pikipiki zao za kijani na kumtumia mwalimu mkuu wao awalazimishe...
  13. Kuna haja ya topic ya umuhimu wa kodi na hesabu zake iongezwe kwenye shule za msingi

    TRA wanafanya kazi kubwa sana kuelimisha na kupambana na watu ili walipekodi/wasikwepe kodi Hata hivyo changamoto kubwa ni watu kukosa Elimu ya kodi tangia huku chini. Muarobaini wa Kukwepa kodi na mikopo umiza ni kuelimisha watu kuanzia huku chini. Napendekeza; 1. Waongeze topic ya umuhimu wa...
  14. Athari za ujenzi kwa kutumia madirisha ya aluminum kwa shule za msingi na secondary Mkoa wa Kilimanjaro

    Katika mchakato wa ujenzi wa madarasa ya shule za msingi, kuna masuala kadhaa ya kuzingatia kuhusu matumizi ya madirisha ya aluminium bila kuweka nondo. Kwanza, ni muhimu kujua ni muda gani madirisha haya ya aluminium yatadumu bila kuharibika, hasa ikizingatiwa kwamba watoto na wanafunzi mara...
  15. D

    Uchunguzi wangu katika shule za msingi za serikali umebaini zipo tabia mbaya kwa baadhi ya walimu

    Nimefanya uchunguzi wangu katika shule za msingi za serikali nimebaini mambo ya ajabu sana yanafanywa na baadhi ya walimu kwa watoto! Kuna tabia za ajabu ajabu kutoka kwa baadhi ya walimu ambao wabadhamana ya kulea watoto wetu kielimu! Miongoni mwa mambo niliyobaini 1. Walimu hawafuati ratiba...
  16. Shule za Msingi za Serikali mitihani ni mingi, Serikali ijitathmini

    Shule za Msingi Kuna mitihani mingi sana Kwa madarasa ya 4 na 7 Mfano mock, Wanafanya Mock Kabla ya mwezi wa Tano, watafanya Tena Kabla ya mwezi wa nane, Wana mitihani ya kata, mitihani ya wilaya, Wana mitihani ya Kess, Mitihani ya Mofety. (Taasisi binafsi zimeruhusiwa kuuza kutunga na kuuza...
  17. Je ni sahihi wanafunzi wa shule za msingi za serikali kupewa chakula wale tu waliolipia pesa ya chakula na wengine kuzunguka zunguka tu nje?

    Hii ni kwa baadhi ya Shule za Msingi zinazofanya hivyo. Hii inatisha sana kwa sababu watoto hutia huruma wakati wengine wakiwa nje na mawazo Mengi sana. Niliwahi kufanya utafiti kidogo wa kuwauliza watoto kuwa wanafikiri ni kwa nini wazazi hawawalipii Chakula? Majibu yao yalikuwa tofauti...
  18. Ofisi za walimu wakuu Shule za Msingi ni Masikitiko

    Ofisi za walimu wakuu shule za Msingi za Umma ni Changamoto kubwa. Tunaomba serikali iwafikirie hata kidogo ofisi zao ziwe na hadhi basi. Ili mtu afurahie kazi yake basi mazingira yanapaswa kuwa mazuri.
  19. Njia za Kuimarisha Ujuzi wa Programming kwa Watoto wa Kitanzania: Kuanzia Shule za Msingi Hadi Vyuo Vikuu (Tupate Fluent Programmers)

    Utangulizi: Habari wana JF! Leo ningependa kushiriki nanyi mawazo juu ya jinsi Tanzania inaweza kuzalisha programmers wenye ujuzi wa hali ya juu kwa kuanzisha elimu ya programming kuanzia shule za msingi hadi vyuo vikuu. Kwa sasa, wanafunzi wengi wanakutana na programming mara ya kwanza wakiwa...
  20. SoC04 Mabadiliko yenye tija katika shule za msingi na sekondari

    Tanzania ni moja kati ya nchi zinazopiga hatua katika maendeleo kwenye nyanja mbalimbali barani Afrika. Ni nchi iliyojaliwa raslimali nyingi kama madini, maji, misitu, mbuga za Wanyama na watu kama kiungo katika kuleta maendeleo. Licha ya hayo, bado kasi yake hairidhishi ikilinganishwa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…