OFISI ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), imeomba kibali kwa Rais Samia Suluhu Hassan cha kuajiri Walimu 7,000 ili kupunguza upungufu wa walimu wa Shule za Msingi na Sekondari nchini.
Waziri wa TAMISEMI, Innocent Bashungwa aliyasema hayo kwenye mdahalo maalum wa kujadili...