" Jana Niliona toleo lilotamalaki sana kwenye Vyombo vya habari kuwa Wazazi wasiwapeleke Watoto wao Kusomea Ualimu kutokana na Maslahi Kiduchu amabyo mwalimu Anapata au Analipwa.
Nikaenda mbali sana kwa kuwaza na kuwazua Nikaona nianze Kufanya Uchunguzi wangu wa ndani kabisa.
Sasa kabla...
Katika kila jamii, elimu hupewa nafasi ya kipekee kama nyenzo ya kufanikisha maendeleo ya mtu binafsi na taifa kwa ujumla. Wazazi huwekeza kwa gharama kubwa kuhakikisha watoto wao wanapata elimu bora, wakiamini kuwa elimu ni ufunguo wa maisha bora. Lakini swali la msingi linabaki: Je, uwekezaji...
Kazaliwa 2003.
Chekechea na Primary: Shule ya English Medium...
O- level : Private
Advance : Private.
Kafika chuo kanyimwa bumu( boom)
Hajawa allocated.
Heslb wana mzungusha tu . Wanasema kanyimwa mkopo Kwa sababu Heslb wali estimate kwamba mzazi wake ana uwezo WA kumlipia ada ya Chuo...
Wakuu habari.
Mwanangu ameingia class 4 mwaka huu. Ila shule aliyopo imekuwa na mwenendo mbaya, kiasi kwamba kwa mwaka 2023 na 2024 wazazi wanaojitambua wamehamisha sana watoto wao. Sasa huyu wa kwangu kila mara yeye huchukua namba 1 darasani.
Ila tangu tulivyoanza mwaka 2024 nikawa na mawazo...
Msaada wa shule ya private kwa kidato cha tano kwa michepuo ya sayansi PCM na PCB.
Shule iwe ya bweni maeneo ya kibaha mlandizi au chalinze.
Ada iwe kati ya milioni moja mpaka milioni mbili na nusu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.