Wakuu habari.
Mwanangu ameingia class 4 mwaka huu. Ila shule aliyopo imekuwa na mwenendo mbaya, kiasi kwamba kwa mwaka 2023 na 2024 wazazi wanaojitambua wamehamisha sana watoto wao. Sasa huyu wa kwangu kila mara yeye huchukua namba 1 darasani.
Ila tangu tulivyoanza mwaka 2024 nikawa na mawazo...