Katika kila jamii inayokusudia maendeleo endelevu, uongozi wa kweli ni nguzo muhimu. Kanisa Katoliki, kupitia shule zake za seminari, limekuwa mstari wa mbele katika kuandaa vijana kuwa viongozi bora wa taifa. Seminari sio tu ni shule za kiroho, bali pia ni vyuo vinavyolea viongozi wa kitaifa...
Ukweli,
Kwanza kuna itikadi yetu ambayo hua ni umoja popote ulipo.
Yaani kwanza kama sio rozari shingoni na kujiamini bado hujakamilika hata uwe uliishia form four haukuendelea na miaka ya uchungaji wala masomo ya falsafa.
Kuna mambo mengi ya malector, wapishi, waseminary watukutu, misa za...
Habari ya asubuhi!
Ndugu zangu Mimi ni mmoja wa Kijana niliyepitia shule za seminary. Hizi shule japo zina weaknesses zake lakini ni nzuri kumuandaa mtoto hasa katika Makuzi ya kiroho !
Kuna Mambo mengi ambayo Mimi siwezi kuyafanya kutokana na "hofu ya Mungu" niliyojengeweza kipindi Cha Makuzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.