shule za serikali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    Pre GE2025 Antony Mavunde agawa kompyuta kwa shule za serikali Dodoma

    Mbunge wa Jimbo la Dodoma mjini na Waziri wa Madini Mhe. Anthony Peter Mavunde amegawa vifaa vya tehama vikiwemo kompyuta, printer Kwa shule zote za Serikali za jiji La Dodoma. Sanjali na hayo, Mhe. Mavunde amegawa compyuta 41 kwa ofisi zote za kata katika jiji La Dodoma Pamoja na kuzindua...
  2. Mshangazi dot com

    Ulisoma english medium au shule ya serikali? Na nini unakumbuka kuhusu shule yenu?

    Kwa uelewa ulionao sasa, unafikiri ungesoma shule tofauti ingekusaidia kwenye maisha, ajira au biashara? Je, watoto wako watasoma shule kama uliyosoma wewe au utawapeleka kwingine? Binafsi nimesoma shule ya msingi ya serikali, mkoani Tabora. Nakumbuka nilikua na eneo langu la bustani la...
  3. Mwamuzi wa Tanzania

    Mpaka leo tarehe 23.02.2025 huyu mama hajapeleka watoto shule kisa hana ada, ukimwambia shule za serikali zipo anasema hawezi kufanya huo ujinga

    Leo ndio nimehitimisha kuwa wazazi wengi wanaopeleka watoto EMS ni wale washamba, mostly ni watu ambao wameishia shule za msingi. Wanadhani elimu ni KIINGEREZA. Mtoto makubwa yuko darasa la nne na mdogo darasa la pili. Lakini hawajaanza bado. Huyu mama anafanya kazi za kuhudumia mifugo ya mtu...
  4. M

    Mshahara laki 8 ili upate maendeleo inatakiwa watoto wasome shule za serikali. Tazama huyu baba anavyoteseka

    kama huna njia nyingne za kujipatia pesa hata ujifunge mkanda hutakaa hujenge had watoto wamalize shule
  5. B

    Kama bado unapenda kuendelea kupigwa hela kwenye shule za EMs , usiwafokee wazazi wanao warudisha watoto Kayumba Kwa sababu wenzako wameshajielewa

    Kasi ya wazazi kuwatoa watoto Wao shule za EMs kuwarejesha Kayumba inazidi kuongezeka kila siku. Huko mtaani ni balaa mamia Kwa maelfu ya wazazi wanawatoa watoto Wao shule za EMs na kuwarudisha Kayumba. Tayari wamesha jielewa. Tayari wamesha jua walifanya makosa. Na hawataki kufanya makosa...
  6. M

    Kuna shule za serikali zinaperform vizuri sana, hebu cheki hii

    Hello JF, Hi shule ya government, wamefanya vizuri sana na huwa wanafanya vizuri Sana Imagine mwanao amepangiwa shule hii
  7. Eli Cohen

    Shule za kata zimekuwa "bora liende". Halafu mwanaharakati wa Kayumba ananiambia ninapoteza pesa kusomesha mtoto "saint so and so"

    Unajua ukishajua maana halisi ya elimu hauwezi kuja humu una babwaja babwaja. Sasa ndio elimu gani hio eti ufaulu wa a teengaer utegemee akili special na extra ordinary. Ndio maana unakuta division 2 moja then 3 tano 4 zinakuwa 250 0 zero zinakuwa 80. Some people need to be pushed to be...
  8. milele amina

    Michango isiyo ya hiari Kwa Maafisa Elimu Kata zote, Wakuu wa Shule za Serikali za Msingi na Sekondari, Moshi Manispaa, Kilimanjaro

    Kwa Maafisa Elimu Kata zote, Wakuu wa Shule za Serikali za Msingi na Sekondari, Moshi Manispaa, Kilimanjaro Mkurugenzi wa Manispaa, Mwajuma Nasombe, kwa mamlaka aliyonayo, anawataka watumishi wote kuchangia fedha kwa ajili ya "Get Together" ya Watumishi Wote wa Moshi Manispaa, ikiwa ni sherehe...
  9. W

    Nitapambana kwa lolote niendelee kusomesha watoto private, shule za serikali nyingi hazijakidhi vigezo vya mazingira, ufundishaji, usalama, lugha

    Elimu sio kusoma tu, kuna mazingira ya kusomea, walimu kusaidia wanafunzi, teknolojia, n.k. Kusomesha mtoto ni kumweka katika mazingira salama ya kusoma, awe na walimu wanaotimiza wajibu, kujifunza kwa lugha za kimataifa tangu mdogo, n.k. Ni kweli kuna watoto wana akili zao hata wakisoma shule...
  10. Optimistic_

    Huduma ya Unlimited Internet kwa shule na vituo vya afya vya Serikali

    TANGAZO TANGAZO HlHabari njema kwa vituo vya afya au shule za serikali Kuna huduma ya internet kutoka Vodacom, unachagua package mnawezeshewa. Huduma hii kuwezeshewa ni bure kabisa. Vigezo ✅Tin namba ya shule/kituo cha afya cha serikali ✅Kitambulisho cha muwakilishi anaefuatilia ✅ Barua ya...
  11. kwa-muda

    Nimeambiwa wanaoingia sekondari shule za serikali mtaala ni wa Kiswahili kwa masomo yote

    Wana JF mimi si mwandishi mzuri kwa sababu niliishia na 5B, lakini ningependa tujadili suala fulani kuhusu elimu. Toka serikali ijipange kwamba inabadilisha mtaala watoto primary watasoma kwa miaka sita, kuna mambo mengi ambayo bado hayajaeleweka. Hivyo nilielezwa na mwalimu jana haya...
  12. N

    MSAADA: Mwenye kujua taratibu za kumhamisha mtoto toka shule binafsi kurudi shule za serikali

    Amani ya bwana iwe juu yenu waungwana. Kama kichwa cha habari kinavyojielezq,nina kijana wangu yupo kidato cha kwanza shule binafsi iliyopo Pongwe-Tanga,alihitimu elimu ya msingi Dar es salaam na kuchaguliwa kujiunga na shule ya serikali ya kata iliyopo maeneo ya Chanika. Nilifuata taratibu...
  13. A

    DOKEZO TAMISEMI, chunguzeni shule mnazoziwekea Hela ya uendeshaji wa EBM ili kuzingatia matumizi sahihi ya Kodi ya wananchi

    Habari za kazi ndugu watanzania wenzangu, Binafsi niwapongeze woote katika juhudi zilizo tukuka kulijenga taifa letu safi la Tanzania, Nimpongeze Mh. Dr. Samia suluhu Hasan kwa juhudi za kuijenga Tanzania yetu katika nyanja zote za maisha, Lakini pia kwenye sekta ya elimu hakika unaupiga...
  14. Mtukutu wa Nyaigela

    Enzi zetu waliosoma shule binafsi yani private ni waliofeli

    Tunakumbushana tu, ndivo ilivokuwa. Shule private maarufu enzi zetu kulikuwa Jitegemee, Vituka na sait Antony Mbagala huku tarime kulikuwa na Shirati sec school. Je wewe unakumbuka lipi? Gen Z mtupishe.
  15. BOB LUSE

    Shule za Msingi za Serikali mitihani ni mingi, Serikali ijitathmini

    Shule za Msingi Kuna mitihani mingi sana Kwa madarasa ya 4 na 7 Mfano mock, Wanafanya Mock Kabla ya mwezi wa Tano, watafanya Tena Kabla ya mwezi wa nane, Wana mitihani ya kata, mitihani ya wilaya, Wana mitihani ya Kess, Mitihani ya Mofety. (Taasisi binafsi zimeruhusiwa kuuza kutunga na kuuza...
  16. Yoda

    Nani huwa anachagua mwenyekiti wa bodi katika shule za serikali?

  17. Nyendo

    Shule za serikali kuagiza majembe, reki na makwanja kila mwaka huwa wanayapeleka wapi?

    Kila mwaka shule za Serikali huagiza wanafunzi wapya wanaoanza kujiunga na shule hizo kwenda na majembe, makwanja, reki, mafagio nk kama sehemu ya mahitaji ya vifaa vya kukamilisha wanaporipoti shuleni. Swali langu ni kuwa huwa wanayapeleka wapi kila mwaka wanapokea mapya, angalau hata mafagio...
  18. Wakusoma 12

    Shule za Serikali zisiitwe "za Serikali" bali ziitwe za Umma

    Wakuu habari za mchana, moja kwa moja kwenye maada. Ni kwa muda mrefu Sasa kumekuwepo na utaratibu wa kuziita shule za watanzania (wananchi) kuwa ni shule za serikali jambo ambalo naliona siyo sawa. Ki kawaida shule hizi zinatakiwa ziitwe "shule za Umma (Public schools) na siyo shule za...
  19. Jumanne Mwita

    Swali: NHIF Inasajili Vipi Watoto wa Shule za Serikali kwa Bima ya Toto Afya Kadi?

    Ningependa kujua kuhusu utaratibu wa NHIF kusajili watoto wa shule za serikali kwa Bima ya Toto Afya Kadi. Awali, NHIF ilikuwa inasajili watoto ambao hata siyo wanafunzi kwa bei ile ya Tsh 50,400 bila kujali anasoma au hasomi baada ya shirika lenyewe kujipa hasara kwa kuhujumu mfuko ndio wakaja...
  20. Gentlemen_

    SoC04 Ufugaji wa samaki kwa mapinduzi ya kitaaluma na kiteknolojia katika shule za serikali nchini Tanzania

    Chanzo: Adobe Stock UTANGULIZI: Maono yangu ni kuiona Tanzania katika nyanja ya elimu inapiga hatua kwa kutumia njia mbalimbali ikiwemo ufugaji. Napendekeza serikali ifatilie na kuchambua mawazo haya kwa mustakabali bora wa elimu yetu hapa nchini. DHIMA KUU YA MRADI HUU: Ufugaji wa samaki...
Back
Top Bottom