Wanasiasa ndio watunga sera za afya na elimu , watumishi wa umma hutekeleza hizo sera. Kama shule za umma hazina hadhi maana yake ni kwamba wanasiasa pamoja na watumishi wa umma wameshindwa kutimiza wajibu wao.
Sasa mwarobaini wake ni kuweka Sheria ya kulazimisha wanasiasa wote hasa wale ambao...
Niweke wazi kuwa nina maslah ya moja kwa moja na huu uzi.
Nimezaliwa, nimekulia, nimesoma Machame, nimetoka nikiwa mtu mzima kidogo..
Kipindi tunasoma tulikuwa si chini ya Wanafunzi 40 kwa darasa... During may be more than 20 years ago,
Kwa sasa ni chini ya wanafunzi 20
Kuna shule nyingi...
Watoto na wajukuu wa viongozi wakuu wa umma (Rais, Marais wastaafu, mawaziri, wakuu wa mikoa na wilaya, wabunge, wakurugenzi wa wilaya, wakuu wa mashirika ya umma, wakuu wa chama tawala, nk) hawako kwenye shule za umma wanazozijenga na kuziongoza kwanini? Ni watoto na wajukuu wa wakulima...
Wakuu habari za mchana, moja kwa moja kwenye maada. Ni kwa muda mrefu Sasa kumekuwepo na utaratibu wa kuziita shule za watanzania (wananchi) kuwa ni shule za serikali jambo ambalo naliona siyo sawa.
Ki kawaida shule hizi zinatakiwa ziitwe "shule za Umma (Public schools) na siyo shule za...
Hujambo ndugu?
Nimetafakari kwa kina uamuzi wa serikali kuziweka shule za umma chini ya usimamizi wa TAMISEMI hususan miundombinu yao ninaona ni uamuzi unaohitaji kupitiwa upya.
Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kwa mujibu wa ibara 1415 na 146 za Katiba ya JMT (nimenakili hapa...
Habari zenu.
Nimekaa hapa nimewaza Ni kwa Nini elimu yetu kingereza kisitumike kuanzia chekechea mpaka elimu ya juu.
Shida Ni Nini yaani Kuna watu wamekaa huko wakaona kuwa maarifa mengi yamevumbuliwa na waswahili ama Ni Nini.
Maarifa mengi mno yapo kwa lugha ya KIENGEREZA.
Mtoto akifika...
Linapokuja swala la elimu nawakumbuka hayati Nyerere na Mkapa, hawa wakubwa walikuwa na dhamira ya kweli kuinua elimu ya Tanzania tofauti na awamu zingine........
Pamoja na katiba mpya kuna haja ya kudai elimu bora shule za umma kwa nguvu zote, Familia zenye uwezo mdogo zinaangamiza watoto kwa...
Nafikiri ifike mahala watu wamalize hii changamoto jamani.
Hivi unajionaje uko mjini unatembelea usafiri wa Nguvu halafu kule kijijini ulikotoka Watoto wanakalia mawe darasani? Na kuna mikoa ina misitu na inauza mbao nayo eti inamatatizo ya madawati; Ni aibu!
Naamini hili la madawati na vyoo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.