JINSI SHULE INAVYOHARIBU UBAADAE WA WATOTO WA KI-AFRIKA.
Tafadhari soma hii ukiwa umekwisha graduate 🎓,
Kabla hatujaendelea, naomba nikuweke sawa kwenye maneno Shule na Elimu,
Elimu (Knowledge/Wisdom) ndio muhimu kwenye maisha ya mwanadamu na sio Shule ambayo ipo ndio kama mfumo wa Elimu wa...