unakuta shule nzuri inajengwa inaelekea kukamilika katika halmshauri fulani lakini miti haijapandwa inasubiri mpaka ajage mwalimu mpenda miti au mwanafunzi mpenda bustani aaanzishe miche so inachukua miaka mingi..
Wakati kulikuwa na uwezekano kipindi ujenzi unaanza palepale inapandwa ya matunda...
β Elimu ni kile kinachobaki baada ya mtu kusahau kila alichojifunza shuleni.β
Hii ni nukuu maarufu ya Albert Einstein, ikimaanisha kwamba elimu ya kweli siyo tu kukariri au kujifunza mambo kihafidhina, bali ni uwezo wa kutumia maarifa, mantiki, na uelewa ambao mtu anapata kupitia elimu rasmi au...
Unamkumbuka yule mwalimu uliyekuwa unamcheka kipindi uko shule? Yule mwalimu ambaye kila siku anavaa shati lilelile na viatu vyake vimeisha upande??
Yule mwalimu ndio wewe siku hizi π
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Cane Growers wakionyesha maboksi ya pedi za kike zilizotolewa na Kampuni ya Kilombero Sugar leo wilayani Kilombero. Mchango huu, ambao ni sehemu ya mpango wa 'Kukomesha changamoto ya hedhi salama, unaonyesha dhamira ya kampuni hiyo katika kuendelea kupambana na...
Image source: Pinterest
Kumekuwa na tatizo la wazazi kulaumiana katika kusimamia maendeleo ya mtoto shuleni. Hivyo kurudisha umoja ili kufanikiwa kumjenga mtoto
Na wakati mwingine mzazi anaingia msongo wa mawazo kutokana na taarifa mbaya za mtoto kutoka kwa mwalimu.
Mwandishi wa kitabu cha...
Hayo si maneno yangu, ni maneno ya kilaza mmoja aliechangamka ambae anaamini kwamba umasikini unasababishwa na kutojua lugha ya kiingereza utotoni. ( πππ utoto raha nyie/ you can just think any how)
Si yeye peke yake bali hadi ndugu zake (kaka zake) wengine wanne ( wa tumbo moja) wote...
Mbali na kwamba tuna elimu Bure lakini sasahivi Shule za Msingi kuna utitiri wa Michango (Tozo) mfano mzuri ni Shule ya Msingi Mapinga iliyoko Bagamoyo, kata ya Mapinga. Kuna utitiri wa Michango
1. Mchango wa Hela ya mlinzi 3000/=
2. Hela ya Mtihani ni sh 6700 kwa mwaka
3. Hela ya jiko Tsh...
Anonymous
Thread
michango
michango shuleni
misingi
mitihani
shule
shuleni
wimbi
Habari wana JF? Kipindi Cha nyuma tulikuwa tunawajua viongozi na vitengo vyao vya kazi. Walikuwa wanahudumu kwa mda mrefu bila kutenguliwa au labda ajiuzulu.
Kwa Sasa tunawajua majina lakini hatujui idara zao Kwasababu ya kuhamishwa mara kwa mara . Anateuliwa Usiku na anatenguliwa asubuhi...
Katika shule za secondary nilizosoma nyama na wali vilikuwa vyakula adimu sana hivyo siku vikipikwa ilikuwa ni harakati kubwa mithili ya "survival for the fittest". Nyama ilikuwa inapikwa mara mbili au mara moja kwa wiki, hivyo pia kwa wali. Watu wengi ambao walikuwa wanaonekana wastaarabu siku...
Hivi mliwahi kufanya tukio gani shuleni mpaka mwalimu/waalimu wakabaki wanashangaa na kusema iv kumbe na wewe umo? na tokea hapo wakaanza kukuchulia walewale tu?
Mimi nakumbuka tulikuwa kidato cha nne, ilikuwa mchana , madam g alikuwa yuko darasani kwetu mkondo A, alikuwa mwalimu wa somo la...
Huu mtaala ni mzuri kuuangalia na kuusimulia lakini utekelezeaji wake ni mgumu na hauwezekani katika mazingira yetu
Walimu ambao sisi ndo wadau wakuu wa elimu hatukushirikishwa labda tusingekuwa hapa
1. Vitabu mpaka Leo mwaka unaenda KUISHA havipo mashuleni hasa kwa shule za msingi
2. Mtoto...
Wakuu Tuanze siku kwa Baraka za Mungu ikiwa kwake yeye hakuna linaloshindikana.
Hata kama unapitia Magumu Mungu wa mbinguni akuonyeshe mlango wa kutokea.
Kuwa na Imani utayashinda ya ulimwengu huu.
Moja ya darasa la Shule ya Msingi Tella iliyopo katika Wilaya ya Hai hapa Mkoani kwetu Kilimanjaro limeporomoka kutokana na uchakavu wa majengo hayo ya shule lakini hakuna msaada tunaoupata kutoka kwa Viongozi wetu.
Wanafunzi wapo Shuleni wanaendelea na masomo kama kawaida huku tukiwa hatuna...
Katika zama hizi za kidijitali, inakuwaje mwanafunzi anakatazwa kumiliki na kutumia simu shuleni?
Simu imebeba maarifa yote ya dunia, ambayo mwanafunzi anapaswa kujifunza na kuyafahamu, lkn anakatazwa.
Nini kinaogopwa, 0 kwa gharama ya kuwanyima wanafunzi kupata maarifa?
Habari wakuu hope mtakua mnaendelea vema na weekend
Nimekua najiuliza kwanini magari yanayobeba watoto wa shule yamekua katika Hali mbaya sana kiufanisi
N:B sio lengo langu kuwafundisha wa husika kazi na Wala sina mamlaka ya kuhoji katika hili.
Habari WanaJf,
Nimekumbuka Wakati huo shuleni mwalimu anakuchapa viboko, we ukilia anakwambia aaah unanizomea sindioππ
Na wengine ukishika tu nafuta naanza mwazo, iyo sihesabu.. Daah maticha bhn sometimes wanaona Raha wanavyopiga fimbo raia
Kuna jirani yangu ametoka safari kumfata kijana wake Kipindi Cha likizo, amejikuta akilazimishwa na walimu kuwa mtoto aendelea na masomo Kipindi hiki cha likizo.
Kwenu wadau, naombeni mwongozo kuwa kuna ulazima wa mtoto kusoma likizo shuleni?
Makazini utakutana na matatizo mengi ambayo chanzo kikubwa ni mahusiano mabovui, Ukija Mtaani pia utakuta kesi nyingi chanzo kikubwa ni mahusianomabovu.
Mahusiano ni zaidi ya mapenzi kama wengi wanavyolitumia neno hilo bali hali yoyote ya kimawasiliano kati ya mtu na mtu.
Baadhi ya Afisa...
Kwanza kabisa muasisi wa taifa letu hayati Mwalimu JK Nyerere alisema kila mtanzania anapaswa kupambana na adui watatu ambao ni:
1. Ujinga
2. Umasikini
3. Maradhi
Tunashukuru Mwenyezi Mungu kwa hatua tulipo fikia maana tumeweza kufaulu lakini sasa badala ya kupunguza maadui hapo basi...
Kwa wale tuliozaliwa Vizazi vya Zamani ilikuwa ni nadra sana kumuona Baba hata kwenye Vikao vya muhimu vya Wazazi. Mara nyingi kazi hii ilifanya na Mama na Baba aliletewa taarifa ya nini kimetokea
Wataalamu wa Malezi wanasema Watoto hujisikia Furaha sana pale Baba zao wanapohudhuria Matukio...