shunie

  1. Namtafuta Rafiki yangu Shunie. Tulipotezana humu mwaka 2015 mwanzoni enzi za JK

    Wakuu mpaka Leo huwa najiuliza Shunie alienda wapi loo!! Huyu mtu tulipendana Sana humu JF Enzi hizo ndiyo alikuwa bae wangu humu kila Uzi lazima atupie comment kipindi hicho humu JF kulikuwa na ladha ya kipekee Sana. Shunie popote upatapo ujumbe huu nakutafuta mwenzio ni Kitambo sana...
  2. Tulipotezeana kwa muda kisa tu anahisi mimi nina mtu mwingine

    Kheri ya Eid pili wakuu na jumapili njema wenzangu na mimi, moja kwa moja kwenye mada wakuu mimi nilikuwa kwenye mahusiano na mdada mmoja almost ana miaka 21 na mahusiano yetu yaliendelea vizuri kwa muda wa miezi 3 lakini 3 past weeks huyo mwenzangu alikuwa analalamika sanaa kwamba mimi niko na...
  3. SoC02 Thamani ya Elimu katika Ukombozi wa Jamii

    Elimu ni jumla ya maarifa aliyonayo mtu yanayomuwezesha kutatua changamoto za maisha yake ya kila siku. Elimu si ile tu inayopatikana shuleni na vyuoni bali ni maarifa yote yapatikanayo katika mazingira husika au mazingira yanayo tuzunguka. Elimu ni kitu muhimu sana katika mapinduzi ya kifikra...
  4. RISE UP (AMKA) sehemu ya kwanza-01

    RISE UP ( AMKAA) sehemu ya kwanza *********************************** *********************************** Niliendelea kukimbia huku nikianguka na kusimama maana nilikuwa najikwaa kwenye mawe yaliyoijaza hii njia ndogo, giza nene lililotanda juu ya uso wa nchi lilikuwa ni kikwazo kikubwa katika...
  5. Hadithi: Baba wa kambo kanifumania

    Mtunzi: Washawasha Mambo zenu natumai muwazima au sio? Mi niko poa namshukuru Mungu,kwa jina naitwa Jeniffer nina miaka 23,leo nitawahadithia jinsi baba yangu wa kambo alivyonifumania nikijichua (kupiga punyeto).Naomba msinisimange sana na wala msinihukumu kwa hili. Baba yangu na mama yangu...
  6. E

    Hello new member

    Hello wanajamii Mimi sio mgeni jamii forums nilikuwepo Ila kama mgeni Nimeamua kujiunga na JF rasmi Leo naombeni mnipokee (NINAMASWALI KIDOGO) -Kwanini members wa JF wanatumia ID fake je?(ni vibaya kutumia ID yako?? ) -tangu nimeanza kuijua JF asilimia kubwa ya watu wahumu ndani wajinadi ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…