shura ya maimamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Shura ya Maimamu: Maaskofu wa TEC wanaomba watu kutoka nje ya nchi waje kufanya uchuguzi, wakati waliwahi kututawala na kutunyonya

    Shura ya Maimamu na Viongozi wa taasisi za Kiislamu Mkoani Arusha imetoa tamko la kulaani machafuko ya uchaguzi wa Oktoba 29, 2025, na kutaka hatua madhubuti zichukuliwe ili kurejesha na kulinda amani ya nchi. Akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Arusha, mlezi wa Shura hiyo, Sheikh Juma...
  2. JamiiForums Tanzania Watanzania wapuuzieni UVCCM wanaojiita Wahaziri wa Kiislam ila (Wazingatieni Shura ya Maimamu inayoongozwa na Sheikh Issa Ponda)

    Naandika haya baada ya kuona Kuna upotoshaji mkubwa unaofanywa na UVCCM wakijiita masheikh au wahaziri wa kiislamu, UVCCM hao wamekua wakitoa shutuma nzito kwenda kwa Baraza la maaskofu Tanzania - TEC kwamba TEC ndio wanahusika na kuandaa maandamo yaliyofanyika siku ya uchaguzi mkuu 29 October...
  3. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Shura ya Maimamu: Tunalaani mauaji ya watu wasio na hatia wakati wa uchaguzi mkuu. Tunakataa kupongeza uchaguzi mkuu uliofanyika

    SHURA YA MAIMAMU TANZANIA KAMATI KUU YA SIASA TAARIFA YA UCHAGUZI MKUU TANZANIA 2025 Imetolewa Tarehe 15/11/2025 Utangulizi Taifa letu la Tanzania lilifanya uchaguzi wa viongozi wa kitaifa Rais, Wabunge na Madiwani Tarehe 29 Oktoba 2025. Katika uchaguzi huo Shura ya Maimamu Tanzania ilikua...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Shura ya Maimamu wa Tanzania yatoa waraka mzito-Yalaani matendo ya utekaji na mauaji nchini na kutaka haki katika chaguzi nchini

    HAYA NI BAADHI YA MAMBO YALIYOMO KATIKA WARAKA WA SHURA YA MAIMAMU , WARAKA MZIMA UPO KATIKA ATTACHMENT SHURA YA MAIMAMU TANZANIA S.L.B.2055 DAR ES SALAAM. 0748410746 WARAKA WA IDD ADH-HAA DHULHIJJA 10, 1446 = JUNI 07, 2025 PITIO LA HALI YA MAISHA TANZANIA 2025 Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Shura ya Maimamu yatoa tamko, yamtaka Rais kufanya mabadiliko kwenye mfumo wa Uchaguzi

    Huu Sasa Ndio Uislam, sio ule Uhuni wa Kutangaza Amani Amani huku HAKI imefichwa. Ni sawa tule twanafunzi, Kila kukicha "Mama asamewe" alafu tunashindwa hata kukaa na kujadili Report ya CAG. ==== Shura ya Maimamu Tanzania ikiongozwa na Sheikh Ponda Issa Ponda imengumza kuhusu; Kutoweka...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Masheikh 12 waliochiwa na mahakama kutokana na tuhuma za ugaidi Machi 4 wakamatwa tena na kurudishwa gerezani!

    Wakuu, mambo yameamka huku ==== Jana Machi 4, 2025 Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam chini ya Jaji Kirekiano iliwaachia huru MASHEIKH 12, walio kaa gerezani miaka 10, kwa tuhuma za Ugaidi. Baada ya hukumu hiyo Shura ya Maimamu Tanzania ilitoa taarifa ya kuachiwa huru Masheikh hao. Wakati...
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini Shura ya Maimamu haikutoa matokeo ya utafiti wao? Je walikurupuka?

    Baada ya Rais kuingia msikitini na mlinzi ambaye alidhaniwa kuwa ni mwanaume, shura ya maimamu walisema wanafuatilia tukio hilo na watatujulisha. Kwanini wako kimya mpaka sasa? Je, walikurupuka?
  8. U

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Hamas kukutana kuchagua mrithi wa Kiongozi wao Mkuu aliyeuawa, wanaotajwa Khaled Mashaal na Khalil al-Hayya

    Wadau hamjamboni nyote? Hizo ni habari mpya kabisa kutokea ndani ya kikundi cha kigaidi cha Hamas Kwamba magaidi hao hawajakata tamaa kabisa Kwamba Baraza/ Shura ya Maimamu yenye wawakilishi wa kikundi hicho kutokea sehemu mbalimbali watakutana muda wowote kuanzia sasa kumchagua mrirhi...
  9. JamiiForums Tanzania Shura ya Maimamu Tanzania: Mlinzi Mwanamume wa Rais kuvaa Hijabu na kuingia Msikitini

    Bismillahir Rahmanir Rahiim SHURA YA MAIMAMU TANZANIA KAMATI YA MAADILI WARAKA WA WAZI KWA MSEMAJI MKUU WA SERIKALI JUNI 18, 2024. ‘MLINZI MWANAMUME WA RAIS KUVAA HIJABU NA KUINGIA MSIKITINI’ Shura ya Maimamu imeona malumbano yanayoendelea katika Mitandao ya Kijamii kuhusiana na picha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…