Kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024, Jeshi la Polisi linawataka wananchi, wagombea na wafuasi wa vyama vya siasa kutii sheria bila shuruti ili kuepuka kuchukuliwa hatua za kisheria ikiwemo kukamatwa na kufikishwa mahakamani.
Aidha, Jeshi la Polisi Mkoa...
Mfumo wa Arrow 1,2,3 na Iron dome kushindwa kuzuia makombora ya Ballistic ya Iran kwenye anga la Israel na mwishowe baadhi kupenya na kufikia ardhi ya Israel kamati ya vita ya IDF ilikubalina na washirika wake kufunga THAAD ndio kujibu mashambulizi makubwa ndani ya Iran.
Jana Rais Joe Biden...
Mambo mengine bana, yanahitaji ungwana, hekima na busara tu kufikia muafaka na maisha mengine yanaendelea..
Angeitikia wito wa polisi kiungwana tu bila ubishi, na angetoa maelezo mahususi kama yangalikuepo bila kiburi wala ujuaji, haya mambo si huenda yangelikua yamekwesha mapema sana ndrugu...
Nisiwachoshe sana.
Matukio ya watu kupotea ndani mikono ya polisi.
Matukio ya watuhumiwa kuteswa na kutwezwa wakihojiwa na polisi
Matukio ya mauaji ndani ya vituo vya polisi ni mengi
Matukio ya watu kutekwa na vyombo vya dola kisha kutoweka ni mengi
Matukio ya kutishia wakosoaji na kuwabambika...
Shalom,
Acha ukweli usemwe na pia acha ushuhuda uwekwe bayana.
Binafsi kwa muda mrefu sana nimekuwa bahili hatari na nusu, ila uoto asili uliopo maeneo mbalimbali ya Tanzania umepindua meza ya ubahili.
Pasipo shuruti nimejikuta napata upako wa kutoa pesa maana si kwa utitiri wa pisi kali za...
Hii dunia ni ngumu sana. Kwamba IDF inataka tuonyeshwe wanachotaka wao?
Hii sasa si ndiyo ile ya mambo zetu na VPN na wale waheshimiwa wa pande za kwetu? Au zile mambo zetu na jamiiforums.co.tz badala ya jamiiforums.com?
Kwamba IDF kaona mahandaki ya HAMAS hospitalini, ila tuonyeshwe tu vile...
Huu ndiyo ulio ukweli mchungu:
Mkwamo wetu uko hapa. Uhai wetu utarejea kwa kujikwamua kutoka hapa.
Ukweli huu ni mwiba mchungu mno kwa ule upande mwingine uliojaa ulaghai na ubinafsi uliopitiliza.
Sitoandika mengi hapa kwako Nape,
Yani vifurushi leo unakuja na lugha laini ila ikipita miezi kadhaa wazunguka huko huko huenda kutekeleza malengo yako, maana mmeishajua mwenye nchi wasahaulifu, watapiga kelele, ila nyie mwala mema ya nchi, hivi mwafikili hizi pesa za dhuluma mtazikwa nazo...
Nisikuchoshe na usinichoshe, tusichoshane.
Naongea na wewe ambaye kila siku ni kukopa kwa matatizo yako halafu kulipa mpaka yafanyike matanga! Mbwembwe kibao wakati wa kukopa lakini kulipa deni ni shuruti!
Mara ooh "niazime elfu 30 hapo niweke mafuta kwenye gari nitakurudishia ndugu yangu"...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.