Sitoandika mengi hapa kwako Nape,
Yani vifurushi leo unakuja na lugha laini ila ikipita miezi kadhaa wazunguka huko huko huenda kutekeleza malengo yako, maana mmeishajua mwenye nchi wasahaulifu, watapiga kelele, ila nyie mwala mema ya nchi, hivi mwafikili hizi pesa za dhuluma mtazikwa nazo...