Kama mada inavyojieleza, katika harakati zangu za kutafuta side hustle nlikutana na hiyo idea ya forex. Ila baada ya kufanya research matokeo yalikuwa negative especially kwa hapa JF.
Inavyoonekana kuna watu washalizwa kupitia forex na wanaishi na hiyo trauma. Maada yoyote inayozungumzia hiyo...