Kuna huyu kijana alipost anatafuta kazi, nikamtafuta akadai ana nauli pungufu.
Tukakubaliana nimtumie nusu nauli. Nilimtumia lakini siku ya kuja akawa amezima simu na kufuta picha aizonitumia watsaup. Nilikomenti jinsi alvyofanya baadaye akanitafuta akidai alivamiwa na vibaka wakampora kila...