siasa afrika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. I X 01

    Ajira za Dangote cement

    Habarini za asubuhi wakuu, mimi niko na swali kuna hizi ajira zinatangazwa na kampuni ya Dangote kila siku tunaomba ila hatupati ata majibu kuna mwanazuoni alishawahi pata hizi ajira au ata kuitwa interview atupe abc za kuomba hizi kazi tufanikiwe wote jamani😄
  2. K

    Kwa hali hii Lissu kweli ana msimamo?

    Mbowe alifanya maridhiano, ruzuku inapatikana na chama kikaendelea kujitangaza. Lakini Lissu na watu wake wanamuita msaliti na mnafiki. Leo humu Jamiiforums kunapita thread ya kumpongeza Lissu kwa mara ya kwanza ruzuku ya chama imepita kwenye akaunti ya chama. Mimi nilitegemea, kwa kuwa Lissu...
  3. A

    Ifikie hatua vyama vya siasa viwe na katiba ya kuwa na wabunge na madiwani wenye elimu ya degree

    Kweli au uongo
  4. J

    Ukiangalia Siasa za Kenya zilivyofeli utakubali Ukweli' kuwa CCM ndio baba wa Siasa Afrika Mashariki!

    Huo ndio ukweli CCM ni baba wa Siasa za Africa Mashariki Ukiangalia sinema ya Ruto kumtoa Gachagua utagundua Siasa za Jirani zimefeli kwa haraka sana Makanga na Dereva wote Must Go 😂😂😂😂
  5. hitler2006

    Msamiati wa dodo kwenye uchaguzi wa "EALA" na Mtazamo wa vijana katika siasa

    Kwa aliye fuatilia kampeni za kuziba pengo liloachwa na Dk Shogo Mlozi aliyekuwa mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki R.I.P.kwake Kuna kabinti kamejitokeza kwanza nampa hongera kwa ujasiri na uthubutu wa kuamua kugombea lakini kuna kitu. Amenishangaza katika kujinadi kwake Kwanza kasema yeye...
  6. W

    Tume ya Uchaguzi Tunisia kupuuza uamuzi wa Mahakama wa kuwarejesha Wagombea watatu wa Urais

    Tume ya uchaguzi ya Tunisia imeidhinisha wagombea watatu pekee kugombea katika uchaguzi wa urais mwezi Oktoba 6, 2024, ikipuuza uamuzi wa mahakama wa kuwarejesha wagombea wengine watatu. Wagombea hao ni Mbunge wa zamani Zouhair Maghzaoui, Mfanyabiashara Ayachi Zammel na Rais wa sasa Kais Saied...
  7. michael masala

    Tetesi: JE? siasa ni mchezo mchafu

    Mchezo huo mchafu unaamua nani awe Rais wa nchi 2. Mchezo huu mchafu unaamua nani awe Makamu wa Rais 3. Mchezo huu mchafu unaamua nani awe Waziri mkuu 4. Mchezo huu mchafu unaamua nani awe Waziri 5. Mchezo huu mchafu unaamua nani awe Mkuu wa majeshi, Mkuu wa Jeshi la Polisi, Mkuu wa Idara ya...
  8. D

    Mmeona sasa utofauti kati ya Uwajibikaji wa Wazungu na Waafrika? Kwetu Rais mpaka afie madarani vinginevyo hatoki!

    Kila siku tunawaambia ya kuwa Wazungu ile ni race ambayo ina akili sana na huenda taifa pendwa la Mungu. Angalia Joe Biden ameamua kujiuzulu kugombea Urais kisa uzee na shinikizo la watu kutaka afanye hivyo. Pia soma: Joe Biden ajitoa kugombea Urais wa Marekani 2024 Huku kwetu Africa, Rais...
Back
Top Bottom