Siasa bora ni zile zinazolenga maslahi ya wananchi na maendeleo ya taifa kwa ujumla. Zinahakikisha utawala bora, uwazi, na uwajibikaji. Baadhi ya sifa za siasa bora ni:
Utawala Bora: Serikali inayoheshimu sheria, haki za binadamu, na demokrasia. Hii inajumuisha kuhakikisha mgawanyo wa madaraka...
Wewe ukishahama chama jikite na ya huko ulikohamia Ili kuimarisha Ofisi Yako Mpya
Kule ulikotoka mabaya yao waachie wenyewe
Kumkumbuka mliyeachana ni dalili za Wivu
Jumaa Mubarak 😀😀
Soma Pia: Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM
Wakuu,
Naimani mlikutana na mabango haya yanayoelezea vingozi wa CHADEMA kufanya mkutano na waandishi wa habari, moja likiwa sahihi na mawili yakiwa ya uongo kuwapoteza watu na kuwagawanya wasifuatilie nini kinataka kusemwa na mtu sahihi.
Mbinu ni hizi hizi hata kipindi cha uchaguzi, utakuta...
Nazungumzia katika zama hizi kuna Kiongozi asiyeteua nduguze na Marafiki washiriki kumsaidia katika Uongozi wake?
Hii Dunia imebadilika sana Uadui na uovu umetapakaa kila kona
Jumaa Mubarak 😃
Iliwahi kutajwa kuwa ili tuendelee tunahitaji ardhi, siasa safi na watu. Ardhi ipo hadi yakumwaga, siasa ipo hadi vyuo vikuu isipokuwa imekosa maji na sabuni ili ioshwe iwe safi na hii ni kwasababu nchi haina "watu" wenye uwezo wa kuiosha na kuondoa madoa sugu yaliyoachwa na yanayoendelea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.