siasa kwenye michezo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Pre GE2025 CHADEMA Walalamika Yanga kuimba " Tuna Imani na Samia" yasema ni Kinyume cha Sheria za FIFA

    Mkurugenzi wa CHADEMA John Mrema amesema kitendo cha Wanachama wa Yanga kuimba Wana Imani na Samia kwenye Mkutano mkuu wa Klabu ni Kinyume cha kanuni za FIFA Ukurasani X Mrema amesema Sheria za FIFA zinakataza kufungamanisha Siasa na Mpira My take; Dar Young Africans ni CCM 😀
Back
Top Bottom