Siasa ni nzuri halafu ni mbaya pia ebu imagine unachafuliwa kwa kitu kidogo ambacho labda hakipo kwenye siasa, mfano kupitia familia yako, mavazi yako au tembea yako
Wahenga wanasema siasa inaweza kukupandisha muda mfupi na pia ikakushusha muda mfupi
Akili kichwani mwako
JE SIASA MCHEZO MCHAFU?
1. Mchezo huo mchafu unaamua nani awe Rais wa nchi
2. Mchezo huu mchafu unaamua nani awe Makamu wa Rais
3. Mchezo huu mchafu unaamua nani awe Waziri mkuu
4. Mchezo huu mchafu unaamua nani awe Waziri
5. Mchezo huu mchafu unaamua nani awe Mkuu wa majeshi, Mkuu wa Jeshi la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.