Serikali inamkono mrefu Kamaa wa jini maimuna. Hili limedhihirika hapo jana baada ya sintofahamu bin zengwe iliyosababisha mashaka makubwa juu ya uwepo wa mchezo wa Leo wa Yanga vs Simba.
Duru za mwehu ndama zinasema mchezo huu umeingiliwa kati na serikali ya mama Kizimkazi, kwa kuzingatia...
1. Rais Mstaafu Kikwete
2. Makamu wa Rais Dk. Mipango
3. Waziri wa Fedha Dk. Nchemba
4. Waziri Mavunde
5. Waziri Kikwete
6. Msemaji wa Serikali Msigwa
7. Mkuu wa Mkoa DSM DC Chalamila
Laiti hawa Wachache niliowataja hapa (pamoja na wengine ndani ya Chama CCM) wasingekuwa wanaonyesha wazi wazi...
Wakuu,
Kama soka hairuhusiwi kujichanganya na mambo ya siasa na serikali, sasa wawakilishi wa Simba na Yanga wanafanya nini kwenye Mkutano Mkuu wa CCM?
Wakikilishi wa Yanga Eng. Hersi na mwenzake wameenda kwenye mkutano huu kwaajili ya nini? Kuwashawishi wapenzi wa soka kuipigia kura CCM...
Kama mdau wa michezo, nina wasiwasi mkubwa kuona jinsi siasa inavyozidi kuingia kwenye michezo, hasa kwenye mpira wa miguu ambao unaunganisha Watanzania wengi. Michezo inapaswa kuwa eneo la umoja, burudani na uwanja wa haki kwa wote, bila kuingiliwa na masuala ya kisiasa. Kitendo cha kutumia...
Wakuu,
Naona tunazidi kuingiza siasa kwenye michezo, mwisho timu hizi za mpira zitakuwa hazina tofauti na wasanii wanaotumiwa kutumbuiza na kuimba mapambio kwaajili ya wanasiasa.
TFF kwanini maacha haya yatokee? Wanachi wameshapoteza mzuka kwenye timu ya taifa sababu ya hili hili halafu...
Wakuu,
Hivi ndivyo hali ilivyokuwa uwanja wa mkapa katika mechi ya Simba na Yanga iliyochezwa Oktoba 19, 2024.
Vyama vyote vikiamua kuchukua mabango yao kama hivi kuhamasisha mambo ya kisiasa tutafika kweli?
Mshawafanya Watanzania waichukie taifa stars kwaujinga huu, sasa mnataka mapenzi...
Leo ilikuwa mechi ya watani wa jadi SIMBA na Yanga. Maarufu kama Deby ya Kariakoo.
Michezo pia ni siasa.. Lakini pale inapokuwa ni siasa safi bila agenda za siri nyuma yake.. Kinyume chake ni uchuro wenye nuksi mbaya na laana!
Mimi ni mwana SIMBA original kabisa.. Na Nilikuwa na imani kubwa...
Wakuu kwema?
Tumeshuhudia mara kadhaa siasa kupenyezwa taratibu kwenye michezo na wakati mwingine hata kushawishi baadhi ya baadhi maamuzi kufanyika kwa utashi wa kisiasa!
Mara watu kwenda na mabango uwanjani yenye kusifia chama fulani cha kisiasa, mara simu kupigwa wakati wa sherehe ya vilabu...
Wasalaam wandugu,
Kuna kitu naona kina puuzwa siku kadiri zinavyokwenda. Ila huenda ikaja kuwa hatari zaidi mbeleni endapo zitaendelea kupuuzwa.
Ni kweli tuna mahaba na vyama vya siasa na wanasaiasa zetu, ila hakuna sehemu nyingine tunayoweza ku express mahaba yetu zaidi ya kwenye kumbi za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.