"Najua vilabu vyetu vikubwa vya Tanzania Simba, Yanga sasa mimi mama yao nipo katikati akisemwa vizuri Simba mimi napiga makofi akisemwa vizuri Yanga mimi nafurahi, na kulipokuwa na Simba day ambayo Majaliwa hakuwepo na Yanga day nikapiga kuwapongeza, ilipokuwa Yanga day Makamu wa Rais alikuwepo...
Mada tajwa hapo juu ya husika, tunaomba TTF, Viongozi wa clab za simba na yanga mjitafakari Kwa kitendo kilichofanyika jana katka uwanja wa taifa mnatokosea heshima kuona mnachanganya mpira na siasa. Kwani Kila mtu ana itikadi yake anayoiamini ila suburi uwe nje ya mpira ndo ufanye hiyo itikadi...
Mimi ni Simba ila sikubaliani na huu uhuni wa kuchanganya Siasa na Mpira na tusipo piga kelele now mbele ya safari hali itakuwa mbaya zaidi.
Kwa nini kuwe na kiwango hiki cha juu cha kuchanganya Mpira na Siasa? au Burudani na siasa?
Sijapata ya Yanga ila hope na wao wako huko uwanjani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.