siasa ni biashara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tupambanie familia zetu, siasa ni biashara za watu

    Hii nchi usimtegemee Mwanasiasa na Pia ukiwa Mwanasiasa usimtegemee kijana mwenye njaa kwenye harakati zako..
  2. Siasa ni biashara kama ilivyo biashara zingine

    Kwa Afrika siasa ni biashara kama biashara zingine. Akili kichwani kwenu watumiwa/watumika. Binafsi nilinufaishwa na CCM kwa mambo yangu kwa upande wangu na ndiyo maana naendelea kusema ASANTE CCM.
  3. Je, siasa ni biashara kwa baadhi ya wapinzani?

    Huwezi ukawa serious unataka mabadiliko Utapokea Rushwa toka chama tawala. Huwezi kuwa serious unahubiri mabadiliko ukapokea maelekezo toka chama tawala nani agombeee na Nani asigombee. Huwezi kuwa serious kabisa unataka mabadiliko ukapokea maelekezo ni lini udai haki zako wakati ni haki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…