siasa ya ccm

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. 4

    Pre GE2025 Mtazamo: Kamati ya siasa ya CCM imecollapse ghafula ,Mungu mkubwa

    Yeye ndie na hakuna mwenye mamlaka juu yake na uwepo wake unadhihilika bila shaka wakuu wangu na waungwana sana wana JF ( sio machawa). Wana JF amani ya Bwana na ikawe juu yenu popote mlipo kila mmoja kwa imani yenu . Mada tajwa hapo juu yahusika wakuu. Nimekaa na kutafakari sana juu ya...
  2. milele amina

    CCM: Kamati ya siasa ya CCM mkoa wa Kilimanjaro kagueni ujenzi wa geti jipya la Chuo cha Polisi Moshi, kabla Rais hajalifungua tar 17.9.2024

    Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa wa Kilimanjaro inapaswa kukagua mradi wa ujenzi wa geti jipya la kuingia chuo cha polisi Moshi, na kujiridhisha kabla ya Rais na Mwenyekiti wa CCM Taifa hawajafika kuufungua. Hadi sasa, vyombo vya ndani vimefanya uchambuzi wa eneo hilo, lakini mradi huo haujakamilika...
  3. Stephano Mgendanyi

    Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa wa Songwe Yakubali Mwaliko wa Mbunge wa Jimbo la Momba

    KAMATI YA SIASA YA CCM MKOA WA SONGWE YAKUBALI MWALIKO WA MBUNGE WA JIMBO LA MOMBA CONDESTER SICHALWE Na. Mwandishi Wetu-Momba Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Songwe Radwall Mwampashi leo tarehe 13 Julai 2024 akiwa ameambatana na Wajumbe wa kamati ya siasa ya mkoa huo wameitika...
Back
Top Bottom